Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
ushawanasa sasa wazee wa kusifia wanaanza kumwagika usiku wa leo watalala vizur sna hizi ndo habar wanazozipenda.

mkuu umewazunguka wenzio hapa najua sio lengo lako unawapima kwa ulichokiandika.
Hebi tuambie we unaka nini,maana ushauri hutoi ni kuponda watu tuuuu,na unavyo wapondea havieleweki
 
Hiyo turning point yako bado sana wapinzani bado wamelala na hawajui waanzie wapi.

Watz asilimia kubwa wanamkubali kwa kasi yake

Labda hujuma itokee

2020 hakuna kupiga kampeni
 
Kuzuia Kuingizwa Sukari Kwa lengo la Kuamsha Uzalishaji wa Sukari Nchini, Pamoja na Kusaidia ajira na Kuinua Kipato cha Wakulima wa Miwa, Kwa asilimia 100% Lilikuwa Wazo zuri. Lakini Utekelezaji wake Ulikuwa Wenye kuleta matatizo ambayo hayakukusudiwa. Labda Nilaumu washauri wa Rais, Kwani Rais hawezi Kuachiwa Kila Kitu afanye mwenyewe,( unless alipewa Ushauri akaukataa au hakukaribisha ushauri) Mwisho atakosea au atafanya jambo bila kuzingatia mlolongo ambao Ni wataalamu wa swala husika tu wangeweza Kumsaidia. Na sio uchumi tu, Politic, National Security, Economic Planing, Budgeting, Foreign Policy etc.

Ushauri Wangu Ni Kuwa, Hili Swala la Sukari na Bidhaa Nyingine ambazo Rais anataka zizalishwe Tanzani. Hakuna haja ya Kutumia Misuli na Kusukumana. Sulihisho Ni Rahisi Mno. Serikali Ikopeshe Viwanda vya Sukari Mtaji wa Kuzalisha sukari nchini Mara mbili, tatu nne etc, Kulingana na Uwezo wa Viwanda na Malighafi ya Miwa. Kisha Baada ya Kutimiza hatua hiyo ya Kuzidisha Uzalishaji hapa Nchini. Hatua ifuate ya Kutoza Kodi Kubwa kupita kiasi, kwa sukari inayotoka nje ili bila kusukumana Wafanyabiashara waone hasara kuingiza sukari Kutoka Nje. Wanunue ambayo itakuwa kwa wakati huo inazalishwa nchini kwa wingi. Watu watapata ajira, Miwa ya Wakulima itanunuliwa. Viwanda vya Sukari Vitatengeneza faida. Vitaweza Kurudisha Mkopo, Vitaweza Kujenga Matawi mapya. Na mwishowe Kabisa baada ya Muda Sukari Kuingizwa Nchini itakuwa Ni Historia au Kiasi Kidogo sana. Linalofanyika sasa Ni Kuweka Gari La Kukototwa na Farasi na Kumshurutisha alisukume, tutakesha na Kuumizana sana! Na wala serikali isizuie wale wanaotaka kuagiza sukari nje, kama wapo tayari kulipa kodi 80% na waiuze kwa hasara ruksa!

Na Hili sio Kwa sukari Peke yake, Ifike wakati Tuache Kununua Silaha ndogo ndogo, Uniform, Viatu na sare za Majeshi yetu Kutoka nje. Hii itasaidia Ku Kutumia Raslimali zetu Kama Vile Ngozi, Chuma etc. Na Kuongeza ajira kwa Kasi. Lazima Tuanapokuwa na Miradi Mikubwa ya Ujenzi Tuweke Vipengele vya Mikataba ambayo itashawishi, Wakondorasi Kutumia Equipments Zinazotumia Natural Gas badala ya Diesel na Petroli. Hii itasaidia Kuokoa fedha za Kigeni na Pia Kupata soko la papo kwa papo la Gesi yetu. Lakini haya yote yanatakiwa Kufanywa kwa Hatua. Mfano, Nguo na Viatu vya Majeshi, Serikali Inaweza Kumtafuta Mzalendo ambaye Tayari anauwezo wa Kuendesha Kiwanda. Wakaingia nae Ubia kwa Kumpa Mtaji (Kwa Kumjilisha malengo) Kwa haraka Kiwanda cha Viatu vya Ubora Murua sana, Kinajengwa, Watu wanapata ajira, Wizara ya Ulinzi inaambiwa Mzabuni ambaye atapata Tenda ya Kusupply Uniform na Viatu vya Jeshi, Lazima alete Vya Made in Tanzania. (Baada ya Uzalishaji wa Uhakika kuwepo) Kama hataki basi tenda anapewa Mwingine. Na Baada ya Uzalishaji wa Kutosha, Wa Ubora wa Kutosha, Choice za Kutosha, then Tunaanza Kupandisha Ushuru wa Kuingiza Viatu Nchini.

Baada Vile Viwanda Vikishaanza Kukua na Kutengeneza Faida na Kufuungua Matawi na Kuongeza Ubunifu wa Kufuungua Viwanda-matawi wa bidhaa nyinginezo, Basi Serikali inaweza kuamua Kuuza Hisa zake na Kuhamia eneo jingine la Uzalishaji lenye maslahi na Taifa, Uchumi, soko la ndani la uhakika kwa Malighafi yetu na Ajira kwa watu wake.

I could say a lot in Various areas but these few examples can save the purpose of clarifying my Idea.
 
Yote hayo usemayo ni sahihi ila ndio hivyo tena kamwe haiwezekan kwenye hik kizaz chet. Nafuu bas tungewaandaa hawa madago ambao ndio kizaz chet kichajo lakin ndio hivyo tena imetoka tumeshindwa na hao ndio watakuwa maamuma hata kutuliko.

Inasikitisha hii nch chin ya hik chama aina dira.

The only solushen ni Individual development baas!
 
Kuzuia Kuingizwa Sukari Kwa lengo la Kuamsha Uzalishaji wa Sukari Nchini, Pamoja na Kusaidia ajira na Kuinua Kipato cha Wakulima wa Miwa, Kwa asilimia 100% Lilikuwa Wazo zuri. Lakini Utekelezaji wake Ulikuwa Wenye kuleta matatizo ambayo hayakukusudiwa. Labda Nilaumu washauri wa Rais, Kwani Rais hawezi Kuachiwa Kila Kitu afanye mwenyewe,( unless alipewa Ushauri akaukataa au hakukaribisha ushauri) Mwisho atakosea au atafanya jambo bila kuzingatia mlolongo ambao Ni wataalamu wa swala husika tu wangeweza Kumsaidia. Na sio uchumi tu, Politic, National Security, Economic Planing, Budgeting, Foreign Policy etc.

Ushauri Wangu Ni Kuwa, Hili Swala la Sukari na Bidhaa Nyingine ambazo Rais anataka zizalishwe Tanzani. Hakuna haja ya Kutumia Misuli na Kusukumana. Sulihisho Ni Rahisi Mno. Serikali Ikopeshe Viwanda vya Sukari Mtaji wa Kuzalisha sukari nchini Mara mbili, tatu nne etc, Kulingana na Uwezo wa Viwanda na Malighafi ya Miwa. Kisha Baada ya Kutimiza hatua hiyo ya Kuzidisha Uzalishaji hapa Nchini. Hatua ifuate ya Kutoza Kodi Kubwa kupita kiasi, kwa sukari inayotoka nje ili bila kusukumana Wafanyabiashara waone hasara kuingiza sukari Kutoka Nje. Wanunue ambayo itakuwa kwa wakati huo inazalishwa nchini kwa wingi. Watu watapata ajira, Miwa ya Wakulima itanunuliwa. Viwanda vya Sukari Vitatengeneza faida. Vitaweza Kurudisha Mkopo, Vitaweza Kujenga Matawi mapya. Na mwishowe Kabisa baada ya Muda Sukari Kuingizwa Nchini itakuwa Ni Historia au Kiasi Kidogo sana. Linalofanyika sasa Ni Kuweka Gari La Kukototwa na Farasi na Kumshurutisha alisukume, tutakesha na Kuumizana sana! Na wala serikali isizuie wale wanaotaka kuagiza sukari nje, kama wapo tayari kulipa kodi 80% na waiuze kwa hasara ruksa!

Na Hili sio Kwa sukari Peke yake, Ifike wakati Tuache Kununua Silaha ndogo ndogo, Uniform, Viatu na sare za Majeshi yetu Kutoka nje. Hii itasaidia Ku Kutumia Raslimali zetu Kama Vile Ngozi, Chuma etc. Na Kuongeza ajira kwa Kasi. Lazima Tuanapokuwa na Miradi Mikubwa ya Ujenzi Tuweke Vipengele vya Mikataba ambayo itashawishi, Wakondorasi Kutumia Equipments Zinazotumia Natural Gas badala ya Diesel na Petroli. Hii itasaidia Kuokoa fedha za Kigeni na Pia Kupata soko la papo kwa papo la Gesi yetu. Lakini haya yote yanatakiwa Kufanywa kwa Hatua. Mfano, Nguo na Viatu vya Majeshi, Serikali Inaweza Kumtafuta Mzalendo ambaye Tayari anauwezo wa Kuendesha Kiwanda. Wakaingia nae Ubia kwa Kumpa Mtaji (Kwa Kumjilisha malengo) Kwa haraka Kiwanda cha Viatu vya Ubora Murua sana, Kinajengwa, Watu wanapata ajira, Wizara ya Ulinzi inaambiwa Mzabuni ambaye atapata Tenda ya Kusupply Uniform na Viatu vya Jeshi, Lazima alete Vya Made in Tanzania. (Baada ya Uzalishaji wa Uhakika kuwepo) Kama hataki basi tenda anapewa Mwingine. Na Baada ya Uzalishaji wa Kutosha, Wa Ubora wa Kutosha, Choice za Kutosha, then Tunaanza Kupandisha Ushuru wa Kuingiza Viatu Nchini.

Baada Vile Viwanda Vikishaanza Kukua na Kutengeneza Faida na Kufuungua Matawi na Kuongeza Ubunifu wa Kufuungua Viwanda-matawi wa bidhaa nyinginezo, Basi Serikali inaweza kuamua Kuuza Hisa zake na Kuhamia eneo jingine la Uzalishaji lenye maslahi na Taifa, Uchumi, soko la ndani la uhakika kwa Malighafi yetu na Ajira kwa watu wake.

I could say a lot in Various areas but these few examples can save the purpose of clarifying my Idea.

wanao miliki hivyo viwanda ni hao wahindi , na hawataki sukari iuzwe ndani kwani ni hasara
 
Serikali Ishirikiane na Wazalendo Kuanzisha Viwanda Vipya Kwa Ubia. Na Hivi Kama Ni kweli wanafanya hivi, washitakiwe na Wakipatikana na hatia Viwanda vyao Vifungiwe Milele!
 
Mheshimiwa kwa vile umeamua kushika mavi maliza kazi yote ndiyo unawe. Si uliahidi hutabagua katika kuwahudumia watanzania?

Naomba ukimalizana na hao waficha sukari kama ni kweli walificha geukia wafuga kuku wa mayai, nao wamerundika mayai majumbani mwao matani kwa matani hawataki kuyauza na kusababisha bei ipande, kwa mfano kwa ndugu zangu wa Mwanza trey moja inauzwa hadi sh 10,000 wakati wafuga kuku wanayo mayai kibao na watoto wanaishia kuugua kwashakoo na utapiamlo. Au sisi wala mayai hatuthaminiwi ila wanywa chai?

Kwa nini na hawa wauza mayai wasilazimishwe kuuza mayai yao? Au sheria ya kuhodhi bidhaa inasemaje?
 
Yakiuzwa yote idadi ya vijana wanaotutumuka chuchu na Makalio itaongezeka! Usimlishe kijana wako wa kiume kama unahitaji akuletee Mjukuu!
 
Kama uko Mwanza, Walishe watoto wako Sangara, Sato na Perege ili wasiuugue Kwashakoo! usisubirie mayai.Tumia kilicho kaibu nawe...
 
Sangara, sato na perege siku hizi hawagusiki wana bei kuliko kilo mbili ya maini ya ng'ombe. Kilicho karibu ni mayai maana kuku hivi sasa Mwanza wako kila mahali.
 
Hiv wew, ni jinsia gani?? "Ke" au "me", samahani lakn, kama ni "me" usipendelee mayai, mihogo ina tija mara mia zaidi.
 
Mie napendekeza tuufuate ushauri wa Mzee Ng'winamila: Kuleni.....Kuku , Mayai, mboga, samaki, maziwa... Ukikosa kimoja wapo: Kula kingine ali muradi tu tusiwe kama Mke wa Mfalme wa Italia aliyependekeza watu wale KEKI wakati walikuwa wanadai kukosa Mkate....
 
Yan Mwanza Mayai trei 10000 unalalamika arusha Mayai ya kienyeji trey 13000 ya kisasa 10000 hapa kaz tuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom