Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Shiremoor baba:$

Ningepeonda kuona unawareach watu wote wawe na complains au ushauri kwa kupitia mobile phone utapata yawider audience na kupata picha halisi ya walla hoi

Hata Jamie forums ni sehemu tu ya watu wote wa Tanzania,wengi bado Hawana computer facilities /Internet

January makamba alianzisha hii system sijjui ilifikia wapi?
Thubuutu!!!!
 
Kwa siku hata Muheshimiwa akitenga masaa manne ya kuwasikiliza walalahoi kwenye simu, anaweza kuishia kupokea simu 20 tu kwa siku moja.

Kinachotakiwa ni kuimarishwa kwa mfumo, sio mtu mmoja.

Siasa za kuwasikiliza mnyonge mmoja mmoja alizianzisha Mwinyi wakati wa utawala wake.

Alikwama kabisa.
 
Kwa heshima na taadhima naomba Mhe.Dr.John Pombe Joseph Magufuli aige kile alichofanya Rais wa Kenya Mhe.Uhuru Kenyatta kuunda Kamati ya watu 16( 11 JUBILEE na 5 CORD)ili kuangalia uwezekano wa kuifanyia MABADILIKO TUME YA UCHAGUZI YA Kenya IEBC( Independent Election and Boundaries Comission).

Kenyatta amepongezwa na ameungwa mkono nje na ndani ya nchi.Hili limetokea baada ya MAANDAMANO YA KILA JUMATATU yaliyokuwa yakifanywa na CORD kuwataka Makamishina wa IEBC wafurushwe kwa kuchakachua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya mwaka 2013!

Tunamwomba sasa JPM aigealichofanya Uhuru kwa kuruhusu Mikutano na maandamano ya UKAWA nchi nzima kueleza hidia zao kuhusu kilichotokea Uchaguzi Mkuu 2015 na kile kinachoendea ndani ya Bunge letu hapa Dodoma na hatimaye akubali hoja zao na akae pamoja UKAWA ili nchi isonge mbele na hatimaye kufikia ndoto za kuibadili Tanzania kuwa nchi yenye Viwanda na Uchumi wa kati!

Lakini kama JPM ataendelea kuwapuuza UKAWA nje na ndani ya Bunge ajue kuwa nchi hii ni yetu sote na haiwezi kufikia malengo kwa kuegemea chama kimoja kana kwamba hii ni nchi ya chama kimoja. JPM hawezi kupuuza idadi ya Watanzania zaidi ya Milioni 6 waliopigia kura ili waongozwe na UKAWA! JPM alipata kura Milioni 6 ikiwemo na kura haramu za wizi!
 
Kwani lazima yanayofanyika Kenya na hapa yafanyike?

Mimi naona ni bora ateue mwenyekiti mpya wa tume. ..... (Joke)
 
We we we!!!Huyu anataka asifiwe tu,hataki mapungufu yaonekane na hataki kukosolewa.HAPA KUSIFIWA tu.
 
Kwa heshima na taadhima naomba Mhe.Dr.John Pombe Joseph Magufuli aige kile alichofanya Rais wa Kenya Mhe.Uhuru Kenyatta kuunda Kamati ya watu 16( 11 JUBILEE na 5 CORD)ili kuangalia uwezekano wa kuifanyia MABADILIKO TUME YA UCHAGUZI YA Kenya IEBC( Independent Election and Boundaries Comission).

Kenyatta amepongezwa na ameungwa mkono nje na ndani ya nchi.Hili limetokea baada ya MAANDAMANO YA KILA JUMATATU yaliyokuwa yakifanywa na CORD kuwataka Makamishina wa IEBC wafurushwe kwa kuchakachua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya mwaka 2013!

Tunamwomba sasa JPM aigealichofanya Uhuru kwa kuruhusu Mikutano na maandamano ya UKAWA nchi nzima kueleza hidia zao kuhusu kilichotokea Uchaguzi Mkuu 2015 na kile kinachoendea ndani ya Bunge letu hapa Dodoma na hatimaye akubali hoja zao na akae pamoja UKAWA ili nchi isonge mbele na hatimaye kufikia ndoto za kuibadili Tanzania kuwa nchi yenye Viwanda na Uchumi wa kati!

Lakini kama JPM ataendelea kuwapuuza UKAWA nje na ndani ya Bunge ajue kuwa nchi hii ni yetu sote na haiwezi kufikia malengo kwa kuegemea chama kimoja kana kwamba hii ni nchi ya chama kimoja. JPM hawezi kupuuza idadi ya Watanzania zaidi ya Milioni 6 waliopigia kura ili waongozwe na UKAWA! JPM alipata kura Milioni 6 ikiwemo na kura haramu za wizi!
NOT CCM!
 
Atuimarishie mazingira bora ya kilimo vijijini,benki za ukulima vijijini,matrekta na nyenzo nyingine za kilimo.
 
Atuimarishie mazingira bora ya kilimo vijijini,bank za ukulima vijijini,matrekta na kadhalka.
 
SAWA, LAKINI KIWANJA KIPYA KINACHOTARAJIWA KUJENGWA CHATO MIONGONI MWA VINGINE ZITATUA NDEGE GANI? KUMBUKA VIWANJA NI VINGI KULIKO NDEGE ZA UMMA!
 
Wehu wako wengi sana miaka hii . Na kwa bahati nzuri we lazma ni mmoja wapo wa vilaza walotimuliwa.
 
Naskia katenga Billioni 2 New Chato International Airport FY 2016/2017 BUDGET. Akiboresha Kilimo kitatua nn hapo?

Bongo ni kichwa cha mwendawazimu vipaumbele vya Budget ni Mawaziri husika kujipendekeza kwa Rais.
 
Biashara ya ndege inayo changamoto na ushindani mkubwa hasa ukizingatia uwepo wa low cost airlines. Nadhani ni busara zaidi nchi Saba za Afrika mashariki kushirikiana kuanzisha east African airways.
 
Ukawa walitoka nje ya bunge kupinga sheria ya makosa ya mtandaoni kwamba ni sheria mbaya sana na kandamizi kwa wananchi, ! Leo ni miezi 9 tokea sheria ianze kufanya kazi ,sasa nyinyi nyumbu tuwaulize mpaka sasa sheria ya mtandaoni imeshamkandamiza nani??
Siasa za kupotosha watu kiasi hiki hazitawafikisha popote nyinyi UKIWA.
 
Huyu naye ni GT [emoji84]
Jamani ccm wenzangu embu tujitahidi kuoanisha mada na tuna yo comment
 
Atuimarishie mazingira bora ya kilimo vijijini,benki za ukulima vijijini,matrekta na nyenzo nyingine za kilimo.
nadhani taifa litandelea kwa kuweka vipaumbele ktk sekta mbalimbali na siyo kilimo pekee. Ukivuna zabibu utauza ulaya kwa kuzipeleka na matreka au zitasafirishwa na hizo benki za kilimo? kwanza hizo ndege ni chache, serikali iongeze kwenye bajeti zijazo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom