BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Magufuli naye si msafi ni fisadi na dikteta. Ripoti kuhusu ufisadi wake wa MV Dar inapigwa vumbi Ikulu na kwa jinsi alivyo na visasi kaamua kukata bajeti ya CAG na muda si mrefu atamfuta kazi CAG Assad kwa kuandika ripoti mbaya kuhusu ufisadi wa Baba J.esca.
Mkuu, Kikwete mlisema ni dhaifu. Magufuli anawakazia mnasema anaongoza kidikteta. Poleni sana. Yaani miaka hii lazima mpotee kisiasa