Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Heshima kwenu wadau, bila kumsahau Rahisi wangu Magufuli.

Sina mengi kwa Leo ila nakuomba ufanye hili kwa ajili ya afya kwa mama Tanzania/Tanganyika.

Mh. Rahisi nakuomba/nakusihi uvifute hivi vyeo vinavyoitwa viti "viti maalumu" wabunge na madiwani.

Sina uhakika kama hivi vyeo vipo kwa mujibu wa katiba au ilikuwa ni makubaliano ya vyama vya siasa au ni matokeo ya kura za ndioooooo..... Pale mjengoni.
Ila vyovyote itakavyokuwa Nina imani unauwezo wa kuvifuta, na kama ni ushauri ni namna gani uvifute tafadhali ni-pm nikuelekeze/nikushauri.

Mh. Rahisi kama ushauri wangu utaufanyia kazi faida zipo nyingi na hizi ni baadhi:-
1: Utaokoa fedha nyingi na Nina uhakika ata ile bajeti ya kuamishia serikali Dodoma utaipa kwa kiasi Fulani.
2: Utakuwa umeliwekea heshima bunge letu pamoja na halmashauri zetu kwa wengi wa hawa "viti maalumu" ni viladha (samahani) na kazi zao ni kupiga kelele za ndiooo...

Faida zipo nyingi na Nina imani wadau wengine wataongezea.

Sina mengi na nisingependa kuandika mengi sababu ninajua unamajukumu mengi.

Kwaheri mh. Raisi
 
Katiba ya warioba ndio suluhisho la yote haya, jambo la muhimu ni kumshauri rais akubali katiba ya warioba iwe katiba ya nchi hii, hapo ataokoa feza nyingi sana hata kujenga viwanda haitakuwa tatizo la kusubiri kutatuliwa na wawekezaji.
 
Siandiki coz of today naandika bcoz nataka my son to know.

Yes nilimchagua JPM but sikutegemea atasahau kura yangu. Sikutegemea pia leo akiamka hatajua aliniomba kura yangu ili anitumikie. Kama ameshindwa naomba aseme nimeshindwa.

Please chukua dhamana ya watu ukiwa na uhakika utaweza kubeba dhamana.

My son naomba ukimkosea mtu umuombe msamaha kuliko umkosee halafu umtishe just bcoz unaweza kumtisha au kumtikisa.

My son najua you will be smarter than me but please usiwe kwenye chama kimoja milele coz unaogopa mabadiliko, trust me mabadiliko tunayaogopa coz hatujawahi kuyajaribu.

Anytime kitu hakitakua sawa kibadilikieni na matokeo mazuri mtayaona.
 
C andiki bcoz of today naandika bcoz nataka my son to know.
Yes nilimchagua JPM but sikutegemea atasahau kura yangu.sikutegemea pia leo akiamka hatajua aliniomba kura yangu ili anitumikie.kama ameshindwa naomba aseme nimeshindwa.
My son plz usichukue dhamana ya watu ukifkiri plz chukua dhamana ya watu ukiwa na uhakika utaweza kubeba dhamana.
My son naomba ukimkosea mtu umuombe msamaha kuliko umkosee halafu umtishe just bcoz unaweza kumtisha au kumtikisa.
My son najua u will b smarter than me but plz usiwe kwenye chama kimoja milele bcoz unaogopa mabadiliko,trust me mabadiliko tunayaogopa bcoz hatuja wahi kuyajaribu.Anytime kitu hakitakua sawa kibadilikieni na matokeo mazuri mtayaona.

Hivi kati ya mtoto wako na wewe nani ni mtoto?
 
Kutokana na tamko alilolitoa Mh Raisi kuhusu kuhamia Dodoma,
Naishauri mamlaka ya mipango miji CDA ihakikishe wizara zote mpya zitakazo hamia Dodoma zijengwe nje kabisa ya mji wa Dodoma,

Hii itapunguza msongamano wa magari/foleni katikati ya mji kama ilivyokua kwa maeneo ya posta jijini dar es salaam,
Kwakua barabara ya kuingia mji wa Dodoma ni moja tu,kuweka msongamano katikati ya mji kutaleta usumbufu mkubwe hata kwa mabasi yanayotoka mikoani kuingi mjini.

Wakati wa kuipang Dodoma ya karne ijayo ni huu,kama wahusika watazembea basi Dodoma itakua ni mahala pa hovyo kabisa kuishi hapa nchini.
Wasalaam.
 
ushauri huu naomba umfikie mh Raisi na pia nitatoa ushauri kwa ukawa nikiwa mtanzania mwenye fikra tofauti kabisa wanasiasa wa kizazi hiki.

USHAURI WA KWANZA

Mh Raisi nimesoma magazeti mengi ya leo tar 30/7/2016 mengi yakizungumzia mikutano ya chadema au ukawa yenye kauli mbiu ya UKUTA,kinachopambishwa na magazeti ni kama kuonekana kuna vita kati ya utawala wako na wapinzani au ukawa.

Niseme hivi,ukawa inaundwa na watanzania,na wewe mkuu wa nchi ni mtanzania,polisi na vyombo vyetu vya dola ni watanzania na wao pia,na wale watakao pata madhara kwa fujo zitakazo ni watanzania pia,sasa basi waache wafanye mikutano yao kwa amani na uwape vyombo vya ulinzi wakawalinde watimize wajibu wao kisheria na kikatiba,lakini kwa upande mh Raisi cha kufanya ni kimoja watanzania tuna njaa na kero nyingi mno ambazo hazitatuliwa kwa mikutano ya ukuta wala kumsema mtu fulani,kwa maana hiyo basi Waagize MADC NA MARC wakupe mahitaji muhimu matatu ya wilaya zao na mikoa yao,matatu muhimu.

wakisha kupa weka mikakati ya kiutawala,nikiwa na maana kwamba kila mkoa au wilaya ukuta utakapo pelekwa wewe utawapa kazi halmashauri na taasisi za serikali kutimiza moja ya mahitaji muhimu ya wananchi,mahitaji yetu hayaishi leo ila yapo muhimu kama afya,maji na elimu,sehemu za biashara.
hakuta kuwa na haja ya kuwatumia polisi kuzuia mikutano hiyo kwa nguvu kubwa ila utapambana nao kwa kuwatekelezea mahitaji muhimu ya wananchi hayo ambayo utakuwa umepewa na madc au marc wako.

Pambana nao kwenye utekelezaji wao waache waongee ila vitendo vitawajibu.


USHAURI WA PILI.

Ukawa siasa za kupoteza pesa kuzunguka nchi nzima kujijenga zimepita na wakati,ila mtaweza kujijenga tu pale mtakapo acha kuwa na fikra za kinafki na uchoyo.

wakati umefika sasa badala ya kuzunguka na UKUTA pelekeni wataalamu wenu wakatafute masoko ya bidhaa zetu au bidhaa zinazo zalishwa kwenye mikoa mliopata madiwani,wabunge na Mamaeya ndani na nje ya nchi mkishirikiana na serikali,Fatilieni viwanda vilivyopo kwenye maeneo yenu kama wanafata sheria zetu za uwekezaji kwa ufasaha,huku mkiangalia na ushirikishwaji wa WATANZANIA kwenye uzalishaji hapo kiwandani mtakua mmewasaidia sana watanzania.leteni wawekezaji wawekeze mtakumbukwa kwa uzalendo wa nchi na mtakauwa na uwezo hata wa kupewa nchi.fanyeni mambo ya maendeleo yapo mengi,michango ya mikutano yenu pelekeni hosptal au mkajenge zahanati.

watanzania wanahitaji maendeleo na si fujo wala maneno mengi mdomoni.

yule yule Zubedayo_mchuzi mzee wa kuzunguka na kutembea umbali mrefu.
 
Ila ulichosema kwenye post yako ni fact, issue ni hizo pesa na utekelezaji... Serikali yetu imejaa propaganda na matamko yasiyotekelezeka...
 
Kama watanzania tusingekuwa na ubinafsi kusingekuwa na haja ya " ukuta" wala sakafu, tatizo la ubinafasi kila kigogo anatunisha misuli dhidi ya wenzake na haangalii maslahi ya watanzania!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom