Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C andiki bcoz of today naandika bcoz nataka my son to know.
Yes nilimchagua JPM but sikutegemea atasahau kura yangu.sikutegemea pia leo akiamka hatajua aliniomba kura yangu ili anitumikie.kama ameshindwa naomba aseme nimeshindwa.
My son plz usichukue dhamana ya watu ukifkiri plz chukua dhamana ya watu ukiwa na uhakika utaweza kubeba dhamana.
My son naomba ukimkosea mtu umuombe msamaha kuliko umkosee halafu umtishe just bcoz unaweza kumtisha au kumtikisa.
My son najua u will b smarter than me but plz usiwe kwenye chama kimoja milele bcoz unaogopa mabadiliko,trust me mabadiliko tunayaogopa bcoz hatuja wahi kuyajaribu.Anytime kitu hakitakua sawa kibadilikieni na matokeo mazuri mtayaona.
Mimi ndo mtoto nataka yeye awe na akili kulimo mimiHivi kati ya mtoto wako na wewe nani ni mtoto?
Yes we have a leader but does he know he was elected to b a leader or he is still in shock? did we do it? Are we still in power while the world is so fast gone?Do we have a leader????
Yes we have a leader but does he know he was elected to b a leader or he is still in shock? did we do it? Are we still in power while the world is so fast gone?
Itakua wanayo,ndio maana mh rais amesisitiza zoezi hili lifanyike mara moja.Wana hiyo hela kwa sasa?
Wanayo au watakua wanayo?? Ndugu suala la kuhamisha hizo mambo za serikali usidhani ni kama unavyohamisha vyombo vyako ukienda nyumba mpya....Itakua wanayo,ndio maana mh rais amesisitiza zoezi hili lifanyike mara moja.