Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Magufuli naye si msafi ni fisadi na dikteta. Ripoti kuhusu ufisadi wake wa MV Dar inapigwa vumbi Ikulu na kwa jinsi alivyo na visasi kaamua kukata bajeti ya CAG na muda si mrefu atamfuta kazi CAG Assad kwa kuandika ripoti mbaya kuhusu ufisadi wa Baba J.esca.

Mkuu, Kikwete mlisema ni dhaifu. Magufuli anawakazia mnasema anaongoza kidikteta. Poleni sana. Yaani miaka hii lazima mpotee kisiasa
 
Wewe mdada vipi mbona unakuwa una kiherehre kama LOWASA alivyojinyea jukwaani punguza kisebu sebu.

mbona sisi hatusemi yule mzazi wako Wa kike mwenye kalé kaugonjwa ka kuchanganya haja zote zinatoka pamoja?
 
mbona sisi hatusemi yule mzazi wako Wa kike mwenye kalé kaugonjwa ka kuchanganya haja zote zinatoka pamoja?
Msigwa aliwambia mkapimwe akili kwa kumuunga mkono lowassa..Msigwa ni nyumbu FC mwenzenu fanyia kazi ushauri wa Msigwa.
 
Hapa kuna mijitu roho zimewauma..na bado ni mwendo wa viparaaaa.Magufuli gooooooooooooo.
 
mkuu shida ya buku saba wao wanadandia kila kitu lakini iko siku watadandia miti
Naona hata ufipa wameanza kutoa buku kumi. Lumumba saba vs ufipa kumi.

Tulizoea kumsema JK ovyo, nae alikuwa mpole kuwaacha watu wamzodoe wanavyotaka. This time, hata ukiandika upuuzi mtandaoni utakula mvua miaka mitatu au 5M zikutoke.

Demokrasia my foot.
 
Dawati liwe maalum kwa wahanga wa kuachishwa kazi ktk mazingira tata na wanahisi cheque number zao zinatumika kuiibia serikali. Tutatoa ushirikiano wa kutosha kumsaidia Rais wetu.
 
Kasema zito katafutwa balaa

Katokea gwajima anawarrant ya polisi

Kasema generali ulimwengu kashutumiwa

Wamesema wabunge ukawa naibu spika kawakatia posho

Sasa mimi raia wakawaida nifanyeje mazee?

Nataka sukari 1800

Nataka bunge live

Nataka maridhiano Zanzibar

Nataka mchakato wa katiba uanze

Nataka sheria ya mtandao isimamishwe

Nataka kuvaa nguo za mtumba

Sipendi saresare maua

Nataka watoto wenye sifa kule udom warudi

Nataka sheria mpya ya uhuru ws habari

Nataka kuhudhuria mikutano ya siasa.

Nifanyeje mazee naogopa kusema mbele ya mh. Nimeambiwa nikitaka kumuona mpaka nimsifie na nisikosoe kwan napunguza kasi ya maendeleo.

Nan ana access na mkuu mwenzio naogopa, nisaidieni wajaameni
 
Nashauli tusiangalie sana nyuma, ila tubobee kwenye kuangalie mbele zaidi, hasa kwenye kipengere cha ujenzi wa Taifa na kwa maslah ya taifa kama Watanzania.
 
Hapa ulipo toa haya maoni yako umetoa ukiwa nchi gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom