Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Amani iwe nanyi wapendwa katika jina la bwana MUNGU, Kumekuwepo na wimbi la watu wengi wakijinasibu na kuanziasha threads zenye lengo la eidha kutoa vitisho au kumkatisha tamaa rais wetu mpendwa,binafisi nimekaa na kutathimini nimegundua kuwa wengi wa waanzisha post hizi ni wale waliokuwa wamezoea vya kunyonga sasa vimekuja vya kuchinja wameshindwa na kubaki kutapatapa,

Napenda nikuhakikishie rais wetu mpendwa kuwa raia tabaka la chini na wale tusio tumia haramu tuko pamoja nawe,hiyo asilimia ndogo ya walanguzi na wahujumu jasho letu isikupe shida,songa mbele baba,wakatie mirija yao haramu,HAPA KAZI TU
 
Bahati nzuri ni kwamba Rais wtu anajua nini anakifanya. Hawezi kusikiliza maneno ya walioshindwa
 
Hakuna cha kukatwa mirija wala nini hana. Mtu akiongoza kibwegebwege atakosolewa tu. Hakuna malaika chini ya jua
 
Hakuna cha kukatwa mirija wala nini hana. Mtu akiongoza kibwegebwege atakosolewa tu. Hakuna malaika chini ya jua
Mkuu, Kikwete mlisema ni dhaifu. Magufuli anawakazia mnasema anaongoza kidikteta. Poleni sana. Yaani miaka hii lazima mpotee kisiasa
 
Bahati nzuri ni kwamba Rais wtu anajua nini anakifanya. Hawezi kusikiliza maneno ya walioshindwa

Ndio maana yake...tunataka kuona Tanzania njema...sio Tanzania ya waandamanaji wasiotaka kufanya kazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom