Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hawa ni kati ya watu walio mdhihaki Mungu

1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)
Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habariwa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi
"Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo.
Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana
ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake
(Hapo alilitaja kundi lake la The Bettle). Ilikuwa mwaka 1966. Wiki moja baada ya kutamba kwamba
yeye na kundi lake lilikuwa maarufu hata zaidi ya Yesu, akapigwa risasi sita na kufariki.

2. TANCREDO NEVES (RAIS WA BRAZIL)
Alisema kwamba endapo angepata kura laki tano kutoka katika uchaguzi mkuu wa Brazil na kuwa rais,
hata MUNGU asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa, akapata kura zaidi ya hizo, akashinda
uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa, akafariki dunia.


3. CAZUZA (MWANAMUZIKI WA BRAZIL)
Alipokuwa katika shoo yake ndani ya jiji la Rio De Janeiro, alichukua sigara, akaanza kuivuta,
akachukua nyingine na kisha kuirusha juu na kusema "Mungu, hiyo yako, chukua nawe uvute"
Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu ambayo iliyaharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote yule.

4. MTENGENEZAJI WA MELI YA TITANIC.
Baada ya kutengeneza meli ya Titanic, mwanahabari akamuuliza ni kwa kiasi gani ilikuwa salama nae
akajibu "Ni salama sana, haiwezi kuzama na hata Mungu hawezi kuizamisha" Nafikiri unajua
kilichotokea kuhusu Titanic.

5. BON SCOTT (MUIMBAJI)
Mwimbaji huyu ambaye alitamba miaka ya 70 alitoa wimbo wake mmoja mwaka 1979 wenye maneno
haya "Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'. Tarehe 19 February
mwaka 1980, alikutwa amekufa baada ya kupaliwa na matapishi yake.

6. Mwanamke mmoja alikuwa akihofia sana kuhusu
ulevi wa marafiki wa mtoto wake.
Wakati wanataka kuondoka na gari, akamshika mtoto
wake mkono garini na kumwambia "Binti yangu, Mungu awatangulie katika safari yenu" Yule binti akajibu "Gari imejaa mama, huyo Mungu labda akae kwenye boneti la gari". Baada ya masafa fulani ya
safari yao, gari lile lilipata ajali kiasi ambacho hata polisi hawakujua ni aina gani ya gari lilikuwa.
Lilikuwa limebondeka sana na watu wote walikutwa wamekufa. Kilichowashangaza polisi, trey la mayai wala halikuonekana kuguswa na hakuna hata yai moja lililokuwa limevunjika na wakati gari lilibondeka mpaka kutokutambulika.

7. CHRISTINA HEWITT (MWANDISHI WA HABARI)
Huyu alikaririwa akisema hivi "Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya...kibaya na
kibaya kama Biblia" Siku chache baada ya kusema maneno hayo, mwili wake ulikutwa umeunguzwa na
moto ambao haikujulikana mpaka leo ule moto ulisababishwa na nini.

8. MARILYN MONROE (MUIGIZAJI)
Huyu alifuatwa na Bill Graham na kumwambia kwamba alitumwa na Roho wa Mungu kwa ajili ya
kumhubiria. Alimkaribisha ndani, akamsikiliza kwa makini, alipomaliza akasema "Simuhitaji Yesu wako,
unaweza kuondoka nae". Wiki moja baadae, alikutwa amekufa katika makazi yake. Polisi walijaribu
kuchunguza kipi kilimuua, mpaka leo hawajapata jibu.
Amesema Magu hajasema Mungu...loh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Many poor Tanzanians who are struggling on daily basis to get a simple daily meal,clean and safe water ,shelter and descent hospital care are disturbed to see how can someone like Tundu lissu who came from similar poor enviroment was able to afford expensive medical care abroad sometimes relaxing with a glass of Chimay on his hospital bed!!

Many Poor Tanzanians are asking themselves why Tundu lissu and his party leaders refused to sort medical care at Super specialiality goverment hospital namely Muhimbili Hospital and insisted to go outside Tanzania while ignoring and preventing Parliamentary ways of handling sick MPs.?

Authorities are asking themselves how come the driver who was with Tundu lissu escaped unhurt from the car which was hit with more than 38 bullets through left front door /side and by miracle hit Tundu lissu on his right side.
Thereafter the driver has been hiding from meeting the Tanzania Police instead he is roaming around the globe and sometimes enjoying media interviews.

Here is the answer.....

Tundu lissu is just another "catch" of an Amercan Agent who gain wealth by distroying Africa and Africanized Good Goverments for benefit and interests of USA.

Jeffrey Smith of an NGO Vanguard Africa is the one who is sponsoring Tundu lissu probably from the days even before Magufuli came into power...Tundu lissu has became another unpatriotic and greedy African puppet person who happen to sit on the lap of a Trophy hunter calling himself Agent of Change.

Who is Jefrey Smith.....follow this truncated piece of an article from our neighbour Malawian..

Jeffrey Smith, masquerades as an American human rights activist, but in all honesty, he is a ‘Regime Change Agent’ in Africa. By his own admission he also provided U.S. Government contacts with regular programming and political updates for the African continent.

This definitely ‘bought’ him a few ‘new friends’… Smith is currently the Executive Director of Vanguard Africa, ‘a nonprofit organization dedicated to supporting free and fair election processes and consolidating pro-democracy forces in Sub Saharan Africa’ and also dedicated to… protecting the interests of the US government in the continent.

Smith extensively uses social media to advance his evil agenda. He engages formidable Public Relations manipulators to achieve his goals. He is a master of the ‘framing effect’.

He was allegedly involved in Gambia’s regime change in 2016; he helped oust the-then President Yayah Jammeh and put in his place a US-friendly figure, Adama Barrow…all for the good of the Gambian people of course…not for the capitalist American pockets.

He also reportedly orchestrated the recent political upheaval in Zimbabwe, as he works for the opposition party ‘Movement for Democratic Change’; yes, American political consultants are willing to go to great lengths to ensure that their candidates win presidential elections or have a favourable public image. Smith’s name was also linked to similar incidents in Gabon and Kenya. He is also currently meddling in Algerian politics as he is very busy working with the opposition to oust sitting President, Abdelaziz Bouteflika.

It now appears that Malawi is next on the list. Chilima recently went on a ‘private trip’ to Washington DC. As you can imagine the trip was not that private, since Twitter was flooded with pictures of a smiling Chilima with Jeffrey Smith at the Voice of America (VOA) international multimedia Agency.

According to sources close to Chilima, the duo had a four-hour meeting planning the details of the upcoming Malawian elections; as in, how to rig them and how Smith and other US coteries will benefit from the deal.

Because it is well-known that foreign interference entities genuinely care about the welfare of the people around the world…and no doubt this is also the case with Malawi.

Dirty Jeffrey Smith has spent years seemingly relentless in his quest to make capital and money from meddling in Africa’s poor countries. He takes advantage of greedy and unpatriotic politicians like Saulos Chilima to make his multi-million dollar election rigging deals at the expense of poor and innocent citizens.

What is more is that where his rigging attempts fails, he resorts to sponsor post elections violence which often times leads to loss of innocent lives and property rendering targeted countries poorer.

Chilima has reportedly promised Smith and his acolytes a myriad of economic deals and benefits, IF they help him win the elections.

Well, worst case scenario, they can always rig them; Smith is a proved subject-matter expert. Funny how Americans hate it when other nations meddle in their internal affairs…or elections, but they, themselves, do it on a regular basis -without the same scruples for that matter- in any country that such schemes are feasible, again ‘on the guise of the good’.

On that note, US ambassador in Malawi Virginia Palmer has been seen -on numerous occasions- attending some UTM events e.g., the UTM convention. It is quite strange that she only chooses to attend UTM’s events and not events of other political parties…She does not even bother to fake it. ‘Ain’t Nobody Got Time for That’…

There is factually little doubt that Malawi’s CSOs, NGOs and even renowned journalists will fall prey to Smith’s systematic form of purposeful persuasion and propaganda techniques, as he is going to tout the ‘vote for change’ and ‘political freedom’ slogans everywhere, but what ‘change’ and what ‘freedom’ -really- are we talking about here?

Chilima does not even realize that he would be totally dependent on these people, IF he ever won the elections.

Does he care? Not really, as long as he wins. Funny how Chilima denounces corruption, nepotism, egoism and abuse of power, when he is the living epitome of all the disgraceful traits he so vehemently despises.

Well, selling out your country to the highest bidder, just to sit in the President’s chair, what does that say for you, Mr. Chilima?

By Falles Kamanga
My Take:
Tundu lissu has no any support From Amercan people or European good people but he is just receiving money to sell our beloved Tanzania.

Jefrey Smith should stop immediately to provoke the AFRICAN BULLDOZER John Pombe Magufuli because nothing can stop the spirit of the Magufulication of Africa.

African union should declare Vanguard Africa as the Agent of Chaos and obstacle to truly African development.

Fellow Tanzanians and patriotic Africans embrace the future of Africa through Magufuli's way of bringing about inclusive economy and the sweet taste of true freedom.

CC:Kamati ya Bunge Ulinzi,Usalama na mambo ya nje.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom