Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Jamani tupunguze lawama maana yapo maamuzi Rais anafanya il nyuma yan siri nzito sana na hawez kuanza tusimulia. Hivyo tujifunze kufunga midomo tuache serikal ifanye kaz yake. Hiz kelele ni dalili ya taifa lililo jaa wanafiki na watu wasiofikiri.
Unaandika tu pumba, yapi hayo maamuzi!
 
Jamani tupunguze lawama maana yapo maamuzi Rais anafanya il nyuma yan siri nzito sana na hawez kuanza tusimulia. Hivyo tujifunze kufunga midomo tuache serikal ifanye kaz yake. Hiz kelele ni dalili ya taifa lililo jaa wanafiki na watu wasiofikiri.
Siri halafu we mwenyewe huijui kuongea ni sehemu ya uhuru wetu kama kuna jambo zuri aseme tumunge mkono
 
Wewe unayefikiri bora ungezisema hizo Siri nzito watu wajue waache kupiga kelele or else you sum to those who do not think
 
Kama hujui kitu bora ufunge domo lako,watanzania si wajinga,vitu vingine kwa urahisi kabisa unaweza kubashiri matokeo yake,Hususani ili la uteuzi wa kada NEC,hakuna cha siri ni suala la mission
 
Jamani tupunguze lawama maana yapo maamuzi Rais anafanya il nyuma yan siri nzito sana na hawez kuanza tusimulia. Hivyo tujifunze kufunga midomo tuache serikal ifanye kaz yake. Hiz kelele ni dalili ya taifa lililo jaa wanafiki na watu wasiofikiri.
Alipokutuma kwa Saa8 ndio pengine siri yenu, lakini kuna siku itakuwa sio siri tena.
Kama siri za shetani zimejulikana na kuandikwa vitabuni, sisi in nani tushindwe kuweka siri za mwanàdamu hadharani?
 
SIRI ILIYOPO,

WATAKAOKIRI NA KUOMBA MSAMAHA,

TUNARUDI 1967 AZIMIO LA ARUSHA
NA KUTENGENEZA AZIMIO LA CHATO 2019.

MALI ZAO ZOTE ZINAKUWA ZA UMMA.

WAWE MAKINI.
 
Miaka 60 bado Tanzania ni masikini.

Unasifia maamuzi mazito?
 
Eti, "Sitaki kuongoza watu wanaotoka machozi..." HYPOCRITE.

Ipo siku na wewe utatokwa na machozi na HAYATAKAUKA..
Sawa lakini atakuwa ameshakuwa Rais kwa miaka kumi tayari na malengo yake yaliyo mfanya aje duniani atakuwa tayari amesha ya tekeleza.

Ni wajinga tu na wasio na busara kama wewe ndiyo watakao kuuwa na lengo la kutaka kumsulubu Rais wetu kwa makosa asiyo stahili.

Kumbuka kuwa kiumbe chochote kilicho letwa duniani na mungu kikajitokeza kuwa na influence fulani katika maisha ya ya binadam kwa malengo ya kutusaidia sisi binadam, kumbe hicho kinatakiwa kithamiwe sana. Kukitendea maovu kiumbe kama hicho ni sawa sawa na kumdhihaki muumba wa mbingu na dunia kwa sisi wate tumeumbwa kwa mfano wake. Sio wito wangu bali mandishi yanasema hivyo.

Historia inatufundisha kuwa wayahudi wali msulubu Yesu wa Nazarethi kwa kumtundika msalabani na kumchoma mkuki kwa mazuri aliyo waletea binadam, wakati mbaya wao wa kweli Barnabas waki msheherekea kuachwa huru, hata Ponteus Pilatus mrumi ali washangaa jinsi wajinga wayahudi wakimwomba wamwache Barnabas jambazi huru na Yesu wa Nazarethi mfalme wao wa kweli asulubiwe.

Matokeo ya vitendo vyao hivyo vya kihaini vina wa cost sasa. Wayahudi hawana amani ulimwenguni. Matendo mabaya yana wafuata kila pembe ya dunia.

Kwa wazalendo tulio jifunza historia na kuzingatia ishara za muumba hatuko tayari kumwona kiongozi wetu mwenye unyenyekevu na upendo wa dhati kwa wananchi wenzake akithulubuwa. Tuta pigana kwa hali na mali kumtetea mfalme wetu wa nchi.

Navyo kuona wewe ni kijana mdogo sana kwa hiyo kama unataka kubadilisha mfumo, basi nakushauri usikate tamaa jitahidi kutafuta njia zilizo mfanya Magufuli kuwa Rais na wewe Rais na ulete hayo mazuri unayo dhani utayaleta.

Watu kama Magufuli ni watu wa nadra sana. Achana na kauli zako za kishetani!
 
Siri halafu we mwenyewe huijui kuongea ni sehemu ya uhuru wetu kama kuna jambo zuri aseme tumunge mkono
Si rahisi kama anafanya uamuzi kinyume na interests zako. Haitatokea kwako kumwuunga mkono JPM kwa lolote lile, kwani umesha jijengea tabia ya kumhasi.

Labda aje mwingine!
 
Si rahisi kama anafanya uamuzi kinyume na interests zako. Haitatokea kwako kumwuunga mkono JPM kwa lolote lile, kwani umesha jijengea tabia ya kumhasi.

Labda aje mwingine!
Yapo mengi namuunga na yapo mengi simuungi.... bahati mbay and humanities sikufungishwa kufunga mkono tu
 
Si rahisi kama anafanya uamuzi kinyume na interests zako. Haitatokea kwako kumwuunga mkono JPM kwa lolote lile, kwani umesha jijengea tabia ya kumhasi.

Labda aje mwingine!
Hospitalike, vituo vya afya mradi wa umeme sawa, SGR HAPANA, ndege sawa,utalii sawa japo kuna waziri naye kawa kivutio cha utalii mpelekeni gombe, electronic payment safI sana nidhamu kind sawa haki za binamu na uongozi boro hapana UPON HAPO tofali yangu na we were non kuwa we umekubali kila kitu kupotea kwa na watu na kundi wasiojulikana ulevi wa madaraka kwa wateule walio wengi
 
Tunachoomba kwa Rais wetu atujengee taasisi imara KIKATIBA. Hiyo ndio legacy itakayodumu sana.

Dola ni ileile na chama tawala ni kilekile. Bahati nzuri na viongozi ni walewale awamu zote hizo.
Wanafanya kupokezana kijiti tu na kutesana kunaendelea.

Tuchomoe DOLA ikae pembeni hata kwa wiki moja uone 'uimara' wa CCM yetu ulivyo.

Demokrasia ya ccm imeshikiliwa na Ikulu tu.
Nje ya Ikulu Chama cha mapinduzi ni cha kawaida sana.
Unayoyaona kwenye Vyama vya upinzani leo ndio yawezakuwa ya ccm nje ya Ikulu.

Pasipo ufanisi? Lakini pia tunatofautiana kwenye kuona ufanisi wa Rais ni zaidi ya nchi? Ankal you are not serious.

Binafsi support yangu kwa Rais iliisha siko alipochaguliwa. Mapenzi yangu yalihamia kwa nchi sio kwa kamtu kamoja.

Awamu hii watu wanatekwa, wanashambuliwa kwa risasi, wanabambikiwa kesi zisizo na dhamana. Utaipendaje awamu hii?

mr yamoto.
 
Mlipewa nafasi ya kubadili katiba na Jk mkaichezea.miezi mitatu mnabishana tu,mara nukta hakuna,mara neno halina maana ,mwisho mkashindwa kupitisha katiba pendekezwa ambayo ilikua na jibu la kilio chenu.kikuu ambacho.ni tume huru na matokeo ya urais kuhojiwa
Mngeanza walau na hayo,badala yake mkataka mambo yenu yote 100% yapite,itawezekana wapi
Kwa Magufuli katiba mpya sio sera yake,hilo mlisahau until next time!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom