Eti, "Sitaki kuongoza watu wanaotoka machozi..." HYPOCRITE.
Ipo siku na wewe utatokwa na machozi na HAYATAKAUKA..
Sawa lakini atakuwa ameshakuwa Rais kwa miaka kumi tayari na malengo yake yaliyo mfanya aje duniani atakuwa tayari amesha ya tekeleza.
Ni wajinga tu na wasio na busara kama wewe ndiyo watakao kuuwa na lengo la kutaka kumsulubu Rais wetu kwa makosa asiyo stahili.
Kumbuka kuwa kiumbe chochote kilicho letwa duniani na mungu kikajitokeza kuwa na influence fulani katika maisha ya ya binadam kwa malengo ya kutusaidia sisi binadam, kumbe hicho kinatakiwa kithamiwe sana. Kukitendea maovu kiumbe kama hicho ni sawa sawa na kumdhihaki muumba wa mbingu na dunia kwa sisi wate tumeumbwa kwa mfano wake. Sio wito wangu bali mandishi yanasema hivyo.
Historia inatufundisha kuwa wayahudi wali msulubu Yesu wa Nazarethi kwa kumtundika msalabani na kumchoma mkuki kwa mazuri aliyo waletea binadam, wakati mbaya wao wa kweli Barnabas waki msheherekea kuachwa huru, hata Ponteus Pilatus mrumi ali washangaa jinsi wajinga wayahudi wakimwomba wamwache Barnabas jambazi huru na Yesu wa Nazarethi mfalme wao wa kweli asulubiwe.
Matokeo ya vitendo vyao hivyo vya kihaini vina wa cost sasa. Wayahudi hawana amani ulimwenguni. Matendo mabaya yana wafuata kila pembe ya dunia.
Kwa wazalendo tulio jifunza historia na kuzingatia ishara za muumba hatuko tayari kumwona kiongozi wetu mwenye unyenyekevu na upendo wa dhati kwa wananchi wenzake akithulubuwa. Tuta pigana kwa hali na mali kumtetea mfalme wetu wa nchi.
Navyo kuona wewe ni kijana mdogo sana kwa hiyo kama unataka kubadilisha mfumo, basi nakushauri usikate tamaa jitahidi kutafuta njia zilizo mfanya Magufuli kuwa Rais na wewe Rais na ulete hayo mazuri unayo dhani utayaleta.
Watu kama Magufuli ni watu wa nadra sana. Achana na kauli zako za kishetani!