Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Uzuri ni kuwa umeelewa kuwa ufinyu wa akili ni kubwabwaja na kuuliza mambo ya kuombeana ubaya, hivyo hao 1000 mmijitambua vizuri.
Ndo maana nimesema wengi wenu mna akili finyu! Thread yangu kuhusu suala la JPM ni hii hapa:-
Kinachoendelea hivi sasa inabidi kiwe funzo kwa Rais J.P Magufuli!

JK alipoleta msamiati wa "kujimwambafai" tu, mitandao ikaripuka kwa vigelegele! Magazeto karibu yote yakaifanya habari hiyo kuwa ukurasa wa mbele!

Si tu kwa mstari wa mbele, lakini karibu yote yaliashiria kana kwamba huyo aliyeambiwa aache kujimwambafai ni JPM!

Hata wana-CCM wenyewe, kama vile Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ali Hapi, nae akaamini kabisa anayeambiwa aache kujimwambafai ni Rais Magufuli!

Kwanini hadi wana-CCM na wenyewe waamini JK kamsema Magufuli wakati yeye alisema Viongozi waache kujimwambafai?!

Lau kama kauli ile ingetamkwa na Mkapa wakati JK yupo rais, sidhani kama wananchi wangemshuku JK kwamba ndie anajimwambafai!!

Sasa kwanini JPM ionekenane ndie anajimwambafai?! Kumbe hata wana-CCM wenyewe wanafahamu kwamba Magufuli anajimwambafai!

Limekuja hili sasa!

Hivi sasa zinapoonea habari juu ya afya JPM, bila kujali kama ni za kweli au za uongo, kwa mata nyingine, mitandaoni kumeibuka shangwe, huku wengine wakisema wazi "...atangulie safari ya milele!"

Hata wakati JK alipoenda kutumbuliwa tezi dume, sidhani kama waliokuwa wanamuombea arudi akiwa kwenye sanduku walikuwa ni wengi namna hii!

Sasa ikiwa hadi wananchi anaowaongoza miongoni mwao kuna wanaouuombea afe, basi hilo ni tosha kumfanya ajitafakari unless!!

Generally speaking, kwa Tanzania inaonekana jamii iliyopo Mtandaoni ndio jamii yenye uelewa zaidi, hususani walio Jamiiforums na Twitter!

Kwa maana nyingine, miongoni mwa wale wanaoonekana kuwa na uelewa zaidi, watafanya sherehe wakisikia rais wao ame-rest in peace!!

Na ukweli ni kwamba, ni mpumbavu na punguani tu ndie anaweza kudiriki kusema hawa wanaomuombea JPM mabaya ni mafisadi! Hao mapunguani tayari tumeanza kuwasikia wakiongea hizi kauli za kipunguani!
Unaweza kuonesha ni wapi nimeombea mabaya zaidi ya kushangazwa na watu wanavyofurahia taarifa za kwamba Magu kadanja!!!!
 
Ndo maana nimesema wengi wenu mna akili finyu! Thread yangu kuhusu suala la JPM ni hii hapa:-
Unaweza kuonesha ni wapi nimeombea mabaya zaidi ya kushangazwa na watu wanavyofurahia taarifa za kwamba Magu kadanja!!!!
Swali la darasa la saba B , fuatilia vizuri majibu yangu na maswali yako utapata jibu , loong live raisi wetu pendwa Magufuli.watadaja wenyewe watakuacha unadunda.
 
Attachments

  • VID-20191020-WA0041.mp4
    11.8 MB
Ukweli uko wazi , mambo yananyooshwa safi kabisa , na nidhamu ilioporomoka inajengwa na kizazi kijacho kitakula matunda yake , sasa hivi tunakula matunda ya zaifu.
Hujajibu hoja. Unalazimisha.

Magufuli ni fisadi. Kauza nyumba za serikali kinyume na utaratibu. Hujajibu hili.

Hujajibu hoja. Magufuli ni fisadi, anatumia fedha nje ya bajeti, ukaguzi na tender process.

Hujajibu hoja, hakuna kunyoosha nchi bila nidhamu. Magufuli hana nidhamu hata ndogo tu katika kauli. Anabwabwaja ovyo kila siku.

Hujajibu hoja. Unaleta viroja.
 
Yote unayouliza ni ubatili , viroja unaleta wewe elezea kipindi cha zaifu @ shamba la bibi ilikuaje ?
 
Kumbe kulikua na nini ? Unaelialia oh wamenajisi oh nini , sema ueleweke.

Ww ndio sema ueleweke maana naona unajibebisha tu hapa kama mwananmke wa kwamtogole. Ujumbe wangu ulikuwa wazi sikuwa naumauma maneno. Sema nimesema nini na kama nimebadilisha chochote mpaka kufikia sasa, ili nione ulipopatia huo ushindi kwenye hiyo mechi.
 
Yote unayouliza ni ubatili , viroja unaleta wewe elezea kipindi cha zaifu @ shamba la bibi ilikuaje ?

Umeulizwa ww unayejikomba kwake huna jipya unaishia kuleta ulimbwende tu. Ww ndio unajua tofauti zao, wengine tunaona ni wale wale kasoro tarehe.
 
Yote unayouliza ni ubatili , viroja unaleta wewe elezea kipindi cha zaifu @ shamba la bibi ilikuaje ?
Two wrongs do not make a right.

Unaelewa methali hiyo maana yake nini?
 
Ww ndio sema ueleweke maana naona unajibebisha tu hapa kama mwananmke wa kwamtogole. Ujumbe wangu ulikuwa wazi sikuwa naumauma maneno. Sema nimesema nini na kama nimebadilisha chochote mpaka kufikia sasa, ili nione ulipopatia huo ushindi kwenye hiyo mechi.
Wanawake wamtogole nao ni wanawake na ni raia wa jamuhuri, wakijibebisha wanakuuzi nini ? Uoneje , kwani hujauona ushindi.?
 
Wanawake wamtogole nao ni wanawake na ni raia wa jamuhuri, wakijibebisha wanakuuzi nini ? Uoneje , kwani hujauona ushindi.?

Ushindi gani, sana sana naona unalazimisha mabasha tu hapa jukwaani.
 
Umeulizwa ww unayejikomba kwake huna jipya unaishia kuleta ulimbwende tu. Ww ndio unajua tofauti zao, wengine tunaona ni wale wale kasoro tarehe.
Sasa wewe swali la mwenzio linakuhusu nini ? Unawashwa au....
 
Sasa wewe swali la mwenzio linakuhusu nini ? Unawashwa au....

Umeuliziwa chumbani usema mpo faragha? Hao wote unaowaquote walikuandikia ww? Mtoto wa kiume unajirembulisha unadhani kuna watu wanataka hiyo huduma humu?
 
elezea ...... ehe .... shamba la bibi ..
Rais Kikwete kama kakosea, akaja Magufuli akakosea kwingine na kurekebisha pale alipokosea Kikwete, Magufuli kurekebisha pale alipokosea Kikwete hakumpi haki ya kutoambiwa kaharibu pengine anapoharibu.

Sasa hata kama Kikwete aliharibu sehemu na Magufuli akarekebisha, hilo haliondoi ukweli kwamba Magufuli anaharibu pengine.

Na hata Kikwete naye alipatia kwenye kuachia uhuru wa habari na siasa, na Magufuli kakosea hapo.

Sasa mantiki ya kusema mabaya ya Kikwete aliyosahihisha Magufuli kama utetezi dhidi ya maneno yoyote yatakayosema mapungufu ya Magufuli inatoka wapi?

Mbona watu wanakuwa one track minded hivi?
 
Hapo ndio tujue hakuna aliemkamilifu chini ya jua , na kua atakayekuja baada ya magufuli nae atakua na mapungufu yake , hivyo hivyo .
 
Umeuliziwa chumbani usema mpo faragha? Hao wote unaowaquote walikuandikia ww? Mtoto wa kiume unajirembulisha unadhani kuna watu wanataka hiyo huduma humu?
Naona uko kwenye joto wewe , maneno ya kurembua oh mara kwa mtogole ,nini , hasira za nini 😂😂😂, mmeachwa solemba 😂😂😂.roho inakuumaaa.
 
Hazina mmeweka ndugu zenu mnajibegea tuu utathani kiporo cha wali maharage.

Wezi wakubwa nyie.
Kama ulivyo wewe , mwizi mwizi , fisadi fisadi , mtanyooka tu awamu hii , mlizoea shamba la bibi.
 
Naona uko kwenye joto wewe , maneno ya kurembua oh mara kwa mtogole ,nini , hasira za nini 😂😂😂, mmeachwa solemba 😂😂😂.roho inakuumaaa.

Unajichekesha nini, nimekuambia situmii hiyo huduma, pelekea mabasha wa Nampula.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom