Wewe sio mwizi?@ shamba la bibiWezi wakubwa nyie.. magorofa mnayo jenga mwanza na bashite mnadhani hatujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio mwizi?@ shamba la bibiWezi wakubwa nyie.. magorofa mnayo jenga mwanza na bashite mnadhani hatujui
Ndo maana nimesema wengi wenu mna akili finyu! Thread yangu kuhusu suala la JPM ni hii hapa:-Uzuri ni kuwa umeelewa kuwa ufinyu wa akili ni kubwabwaja na kuuliza mambo ya kuombeana ubaya, hivyo hao 1000 mmijitambua vizuri.
Unaweza kuonesha ni wapi nimeombea mabaya zaidi ya kushangazwa na watu wanavyofurahia taarifa za kwamba Magu kadanja!!!!Kinachoendelea hivi sasa inabidi kiwe funzo kwa Rais J.P Magufuli!
JK alipoleta msamiati wa "kujimwambafai" tu, mitandao ikaripuka kwa vigelegele! Magazeto karibu yote yakaifanya habari hiyo kuwa ukurasa wa mbele!
Si tu kwa mstari wa mbele, lakini karibu yote yaliashiria kana kwamba huyo aliyeambiwa aache kujimwambafai ni JPM!
Hata wana-CCM wenyewe, kama vile Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ali Hapi, nae akaamini kabisa anayeambiwa aache kujimwambafai ni Rais Magufuli!
Kwanini hadi wana-CCM na wenyewe waamini JK kamsema Magufuli wakati yeye alisema Viongozi waache kujimwambafai?!
Lau kama kauli ile ingetamkwa na Mkapa wakati JK yupo rais, sidhani kama wananchi wangemshuku JK kwamba ndie anajimwambafai!!
Sasa kwanini JPM ionekenane ndie anajimwambafai?! Kumbe hata wana-CCM wenyewe wanafahamu kwamba Magufuli anajimwambafai!
Limekuja hili sasa!
Hivi sasa zinapoonea habari juu ya afya JPM, bila kujali kama ni za kweli au za uongo, kwa mata nyingine, mitandaoni kumeibuka shangwe, huku wengine wakisema wazi "...atangulie safari ya milele!"
Hata wakati JK alipoenda kutumbuliwa tezi dume, sidhani kama waliokuwa wanamuombea arudi akiwa kwenye sanduku walikuwa ni wengi namna hii!
Sasa ikiwa hadi wananchi anaowaongoza miongoni mwao kuna wanaouuombea afe, basi hilo ni tosha kumfanya ajitafakari unless!!
Generally speaking, kwa Tanzania inaonekana jamii iliyopo Mtandaoni ndio jamii yenye uelewa zaidi, hususani walio Jamiiforums na Twitter!
Kwa maana nyingine, miongoni mwa wale wanaoonekana kuwa na uelewa zaidi, watafanya sherehe wakisikia rais wao ame-rest in peace!!
Na ukweli ni kwamba, ni mpumbavu na punguani tu ndie anaweza kudiriki kusema hawa wanaomuombea JPM mabaya ni mafisadi! Hao mapunguani tayari tumeanza kuwasikia wakiongea hizi kauli za kipunguani!
Swali la darasa la saba B , fuatilia vizuri majibu yangu na maswali yako utapata jibu , loong live raisi wetu pendwa Magufuli.watadaja wenyewe watakuacha unadunda.Ndo maana nimesema wengi wenu mna akili finyu! Thread yangu kuhusu suala la JPM ni hii hapa:-
Unaweza kuonesha ni wapi nimeombea mabaya zaidi ya kushangazwa na watu wanavyofurahia taarifa za kwamba Magu kadanja!!!!
Hujajibu hoja. Unalazimisha.Ukweli uko wazi , mambo yananyooshwa safi kabisa , na nidhamu ilioporomoka inajengwa na kizazi kijacho kitakula matunda yake , sasa hivi tunakula matunda ya zaifu.
Yote unayouliza ni ubatili , viroja unaleta wewe elezea kipindi cha zaifu @ shamba la bibi ilikuaje ?Hujajibu hoja. Unalazimisha.
Magufuli ni fisadi. Kauza nyumba za serikali kinyume na utaratibu. Hujajibu hili.
Hujajibu hoja. Magufuli ni fisadi, anatumia fedha nje ya bajeti, ukaguzi na tender process.
Hujajibu hoja, hakuna kunyoosha nchi bila nidhamu. Magufuli hana nidhamu hata ndogo tu katika kauli. Anabwabwaja ovyo kila siku.
Hujajibu hoja. Unaleta viroja.
Kumbe kulikua na nini ? Unaelialia oh wamenajisi oh nini , sema ueleweke.
Yote unayouliza ni ubatili , viroja unaleta wewe elezea kipindi cha zaifu @ shamba la bibi ilikuaje ?
Two wrongs do not make a right.Yote unayouliza ni ubatili , viroja unaleta wewe elezea kipindi cha zaifu @ shamba la bibi ilikuaje ?
Wanawake wamtogole nao ni wanawake na ni raia wa jamuhuri, wakijibebisha wanakuuzi nini ? Uoneje , kwani hujauona ushindi.?Ww ndio sema ueleweke maana naona unajibebisha tu hapa kama mwananmke wa kwamtogole. Ujumbe wangu ulikuwa wazi sikuwa naumauma maneno. Sema nimesema nini na kama nimebadilisha chochote mpaka kufikia sasa, ili nione ulipopatia huo ushindi kwenye hiyo mechi.
elezea ...... ehe .... shamba la bibi ..Two wrongs do not make a right.
Unaelewa methali hiyo maana yake nini?
Wanawake wamtogole nao ni wanawake na ni raia wa jamuhuri, wakijibebisha wanakuuzi nini ? Uoneje , kwani hujauona ushindi.?
Sasa wewe swali la mwenzio linakuhusu nini ? Unawashwa au....Umeulizwa ww unayejikomba kwake huna jipya unaishia kuleta ulimbwende tu. Ww ndio unajua tofauti zao, wengine tunaona ni wale wale kasoro tarehe.
Utalia sana kama hukubali au hutaki kujua ukweli , wembe ni uleule ushindi kama kawaida.Ushindi gani, sana sana naona unalazimisha mabasha tu hapa jukwaani.
Sasa wewe swali la mwenzio linakuhusu nini ? Unawashwa au....
Rais Kikwete kama kakosea, akaja Magufuli akakosea kwingine na kurekebisha pale alipokosea Kikwete, Magufuli kurekebisha pale alipokosea Kikwete hakumpi haki ya kutoambiwa kaharibu pengine anapoharibu.elezea ...... ehe .... shamba la bibi ..
Hapo ndio tujue hakuna aliemkamilifu chini ya jua , na kua atakayekuja baada ya magufuli nae atakua na mapungufu yake , hivyo hivyo .Rais Kikwete kama kakosea, akaja Magufuli akakosea kwingine na kurekebisha pale alipokosea Kikwete, Magufuli kurekebisha pale alipokosea Kikwete hakumpi haki ya kutoambiwa kaharibu pengine anapoharibu.
Sasa hata kama Kikwete aliharibu sehemu na Magufuli akarekebisha, hilo haliondoi ukweli kwamba Magufuli anaharibu pengine.
Na hata Kikwete naye alipatia kwenye kuachia uhuru wa habari na siasa, na Magufuli kakosea hapo.
Sasa mantiki ya kusema mabaya ya Kikwete aliyosahihisha Magufuli kama utetezi dhidi ya maneno yoyote yatakayosema mapungufu ya Magufuli inatoka wapi?
Mbona watu wanakuwa one track minded hivi?
Hazina mmeweka ndugu zenu mnajibegea tuu utathani kiporo cha wali maharage.Wewe sio mwizi?@ shamba la bibi
Naona uko kwenye joto wewe , maneno ya kurembua oh mara kwa mtogole ,nini , hasira za nini 😂😂😂, mmeachwa solemba 😂😂😂.roho inakuumaaa.Umeuliziwa chumbani usema mpo faragha? Hao wote unaowaquote walikuandikia ww? Mtoto wa kiume unajirembulisha unadhani kuna watu wanataka hiyo huduma humu?
Kama ulivyo wewe , mwizi mwizi , fisadi fisadi , mtanyooka tu awamu hii , mlizoea shamba la bibi.Hazina mmeweka ndugu zenu mnajibegea tuu utathani kiporo cha wali maharage.
Wezi wakubwa nyie.
Naona uko kwenye joto wewe , maneno ya kurembua oh mara kwa mtogole ,nini , hasira za nini 😂😂😂, mmeachwa solemba 😂😂😂.roho inakuumaaa.