Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Magufuli ni msela Sana ila protocol yake imemharibia japo Ana nafasi ya kurekebisha
 
  • Thanks
Reactions: T11
Magufuli rais huyu huyu tumekunywa nae alkasusu miaka Saba imepita Leo hii watu wanamzingua achukiwe
 
Tupe connection na sisi walau tule hata mabaki ya keki ya taifa bc maana hari nimbaya sana ndugu
 
Mimi magufuli nishawahi kumtukana uso kwa uso nakuambia live !
Ndio maana magufuli huyu huyu unaemjua wewe mimi ni rafiki yangu ndio maana siogopi Mambo yake alkasusu mnaijua Leo ila mi nimekunywa nae!! Na nakuambia ukweli magufuli Ni msela !!
 
Naongea ninavyomfahamu John Joseph pombe magufuli Kama mtumishi wa Uma na msela saaana sio Kama Rais!
 
Magufuli ni mtu unaeweza kumuambia oyaa nachepuka na ukaenda kula ngumu bila kuzingua atakuambia haya wahi natangulia hoteluni.
 
Magufuli urais umemharibu ila yeye ni jembe vibaya mno mi nishawahi kula nae mitungi Sana Ndio ninapoona ubaya wa urais.
 
Mkuu upo sober kweli au unaongea under the influence of kinda kitu cha Arusha? Hata kama ulikua unakaa nae nyumba moja sasa hivi huyo sio mwenzako, status yake imebadiika so have some respect unapo mu address
 
Nje ya itifaki ya urais magufuli ni mtu wa watu anaweza tembea popote cc wengine tulikula nae mahindi ya kuchoma usiku kucha mahali fukani mkoa fulani mpk najiuliza huu muujiza mwingine wa magufuli umetokea wapi? Ndio maana nailaumu protokali yake sio yeye!
 
Magufuli tumekoka nae Moto wa kuni na yeye akipuliza Kama mwanamama na suti yake kainama Kama Bata ndio maana Mimi namuona Kama raia mwema wa Kawaida Sasa yaliyokuja kutokea badae sielewi kwann
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom