Maoni: Vunjabei apokonywe dili la Jezi - Simba

Maoni: Vunjabei apokonywe dili la Jezi - Simba

jezi ya denmark 1986
HHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH.jpg
 
jezi kali iyo chini ya elfu hamsini sinunui,angalau 60 hivi ndo ntananunua.
 
Hakuna ubishi kuwa club ya Simba ndiyo club yenye heshima kubwa kimataifa iliyopo hapa nchini.

Kuna jambo halipo sawa katika club yetu, mwaka jana na mwaka huu kuna mambo mawili yametokea ambayo kwa maoni yangu hayakupaswa kutokea.

Ukiyachunguza ni kana kwamba tuna hujumiwa na aliyepewa dhamana.

1. Kuvuja kwa jezi kabla ya siku ya uzinduzi, sote tuliona kilichotokea mwaka jana, jezi zilivuja kabla ya wakati tena zilivuja siku zaidi ya 5 kabla ya siku ya uzinduzi na hili likafanya uzinduzi rasmi usiwepo.

2. Mwonekano wa jezi, kiukweli mwaka jana jezi hazikuwa na hadhi inayo endana na timu yetu, watani walituchapa kwa upande huo.

Mwaka huu tena tumeanza kuona jezi inayo sadikiwa kuwa ni ya Simba kwa msimu huu, kwa maoni yangu nadhani tumshukuru bwana Freddy na tutafute mtu mwingine maana hii ya mwaka huu ni kama mapazia ya chumba cha kuhifadhia maiti.

Tatizo liko wapi? Tunazo rangi nzuri sana nyekundu na nyeupe, tunakwama wapi? inamaana tumeshindwa kupata mbunifu ?View attachment 2309013
Huu ushabiki wenu hauwainuwi zaidi ya kuwadharaurisha.
 
Haya mambo ya kumpa mtu tenda ya jezi matokeo yake ndy hayo jezi haina mpangilio mzuri wa rangi,bora wangekuwa wanatangaza wazabuni wanaoweza kudesign jezi then wanaangalia nani kadesign uzi mkali kuliko mwingine basi anapewa tenda
Ila kwa staili hii hapana hiyo jez haijakaa poa
Naunga mkono hoja.
 
Utafananisha na yale majengo ya makumbusho?.
mzigo umeenda shule.
Hakunaa bismin Wala magorofa
 
Sioni kbsa manti ya kila msimu kuwa na jesi mpya Ni ujinga tu wkt jesi iliyoko bado Ni Kali balaah alfu unaenda kutengeneza,ujinga mwingine tuachane nayo
 
kuna fans concepts huwa ni kali nimeona moja ya yanga ile ya kijani ilikuwa kali katengeneza shabiki tu, hata simba last year kuna za mashabiki zilikuwa kali, bafanabafana wao mwaka huu wameamua kutoa open tender mashabiki wana design na vinatoka vitu vikali sana
Mimi nakubaliana na wewe hasa Kwa upande wa jezi kuwa chaguo la mashabiki. Hata kama yupo mwenye tenda tunaweza kusuggest halafu mwenye tenda akatoa.
 
Iyo sio jezi ya simba kakabunja hawezi kutuletea jezi mbovu, alafu kiukweli jezi za msimu ulio pita ni kali sanaa
 
Back
Top Bottom