Maoni: Vunjabei apokonywe dili la Jezi - Simba

Hakuna ubishi kuwa club ya Simba ndiyo club yenye heshima kubwa kimataifa iliyopo hapa nchini.

Kuna jambo halipo sawa katika club yetu, mwaka jana na mwaka huu kuna mambo mawili yametokea ambayo kwa maoni yangu hayakupaswa kutokea.

Ukiyachunguza ni kana kwamba tuna hujumiwa na aliyepewa dhamana.

1. Kuvuja kwa jezi kabla ya siku ya uzinduzi, sote tuliona kilichotokea mwaka jana, jezi zilivuja kabla ya wakati tena zilivuja siku zaidi ya 5 kabla ya siku ya uzinduzi na hili likafanya uzinduzi rasmi usiwepo.

2. Mwonekano wa jezi, kiukweli mwaka jana jezi hazikuwa na hadhi inayo endana na timu yetu, watani walituchapa kwa upande huo.

Mwaka huu tena tumeanza kuona jezi inayo sadikiwa kuwa ni ya Simba kwa msimu huu, kwa maoni yangu nadhani tumshukuru bwana Freddy na tutafute mtu mwingine maana hii ya mwaka huu ni kama mapazia ya chumba cha kuhifadhia maiti.

Tatizo liko wapi? Tunazo rangi nzuri sana nyekundu na nyeupe, tunakwama wapi? inamaana tumeshindwa kupata mbunifu ?View attachment 2309013
Hiyo ni concept imetolewa kwenye jezi ya aston villa mwaka 1988 na sio jezi mpya ya simba
 
Attachments

  • 20220730_224126.jpg
    20220730_224126.jpg
    61.1 KB · Views: 6
Hakuna ubishi kuwa club ya Simba ndiyo club yenye heshima kubwa kimataifa iliyopo hapa nchini.

Kuna jambo halipo sawa katika club yetu, mwaka jana na mwaka huu kuna mambo mawili yametokea ambayo kwa maoni yangu hayakupaswa kutokea.

Ukiyachunguza ni kana kwamba tuna hujumiwa na aliyepewa dhamana.

1. Kuvuja kwa jezi kabla ya siku ya uzinduzi, sote tuliona kilichotokea mwaka jana, jezi zilivuja kabla ya wakati tena zilivuja siku zaidi ya 5 kabla ya siku ya uzinduzi na hili likafanya uzinduzi rasmi usiwepo.

2. Mwonekano wa jezi, kiukweli mwaka jana jezi hazikuwa na hadhi inayo endana na timu yetu, watani walituchapa kwa upande huo.

Mwaka huu tena tumeanza kuona jezi inayo sadikiwa kuwa ni ya Simba kwa msimu huu, kwa maoni yangu nadhani tumshukuru bwana Freddy na tutafute mtu mwingine maana hii ya mwaka huu ni kama mapazia ya chumba cha kuhifadhia maiti.

Tatizo liko wapi? Tunazo rangi nzuri sana nyekundu na nyeupe, tunakwama wapi? inamaana tumeshindwa kupata mbunifu ?View attachment 2309013
Tunaoteseka ni sisi mahabiki, wenzetu Azam na Yanga tayari wamezindua, sisi sijui tunakwama wapi? leo Alhamis bado tu na simba day ni jumatatu kwa hiyo zimebaki siku 3 tu maaana kuzindua jezi siku ya simba day naona ni uwhack tu
 
Ukubwa huo wa Simba uko wapi ww, Au ni huu umaarufu wa kuchawia uwanjani...? Timu kubwa hii ndo Ina management ya kipuuzi ya kuvujisha taarifa Kila Uchwao...!!! Makolo ni wakubwa Bunju palepale
 
Hakuna ubishi kuwa club ya Simba ndiyo club yenye heshima kubwa kimataifa iliyopo hapa nchini.

Kuna jambo halipo sawa katika club yetu, mwaka jana na mwaka huu kuna mambo mawili yametokea ambayo kwa maoni yangu hayakupaswa kutokea.

Ukiyachunguza ni kana kwamba tuna hujumiwa na aliyepewa dhamana.

1. Kuvuja kwa jezi kabla ya siku ya uzinduzi, sote tuliona kilichotokea mwaka jana, jezi zilivuja kabla ya wakati tena zilivuja siku zaidi ya 5 kabla ya siku ya uzinduzi na hili likafanya uzinduzi rasmi usiwepo.

2. Mwonekano wa jezi, kiukweli mwaka jana jezi hazikuwa na hadhi inayo endana na timu yetu, watani walituchapa kwa upande huo.

Mwaka huu tena tumeanza kuona jezi inayo sadikiwa kuwa ni ya Simba kwa msimu huu, kwa maoni yangu nadhani tumshukuru bwana Freddy na tutafute mtu mwingine maana hii ya mwaka huu ni kama mapazia ya chumba cha kuhifadhia maiti.

Tatizo liko wapi? Tunazo rangi nzuri sana nyekundu na nyeupe, tunakwama wapi? inamaana tumeshindwa kupata mbunifu ?View attachment 2309013
Jezi unavaa hadi White House
 
Back
Top Bottom