Maoni: Vunjabei apokonywe dili la Jezi - Simba

jezi kali iyo chini ya elfu hamsini sinunui,angalau 60 hivi ndo ntananunua.
 
Huu ushabiki wenu hauwainuwi zaidi ya kuwadharaurisha.
 
Naunga mkono hoja.
 
Utafananisha na yale majengo ya makumbusho?.
mzigo umeenda shule.
Hakunaa bismin Wala magorofa
 
Sioni kbsa manti ya kila msimu kuwa na jesi mpya Ni ujinga tu wkt jesi iliyoko bado Ni Kali balaah alfu unaenda kutengeneza,ujinga mwingine tuachane nayo
 
Mimi nakubaliana na wewe hasa Kwa upande wa jezi kuwa chaguo la mashabiki. Hata kama yupo mwenye tenda tunaweza kusuggest halafu mwenye tenda akatoa.
 
Iyo sio jezi ya simba kakabunja hawezi kutuletea jezi mbovu, alafu kiukweli jezi za msimu ulio pita ni kali sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…