Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mbona nzuri tatizo ni ile MO Foundation imekaa sehemu mbaya kama sio makalioni basi ipo kiunoni kama shanga.
Hiyo ni concept imetolewa kwenye jezi ya aston villa mwaka 1988 na sio jezi mpya ya simbaHakuna ubishi kuwa club ya Simba ndiyo club yenye heshima kubwa kimataifa iliyopo hapa nchini.
Kuna jambo halipo sawa katika club yetu, mwaka jana na mwaka huu kuna mambo mawili yametokea ambayo kwa maoni yangu hayakupaswa kutokea.
Ukiyachunguza ni kana kwamba tuna hujumiwa na aliyepewa dhamana.
1. Kuvuja kwa jezi kabla ya siku ya uzinduzi, sote tuliona kilichotokea mwaka jana, jezi zilivuja kabla ya wakati tena zilivuja siku zaidi ya 5 kabla ya siku ya uzinduzi na hili likafanya uzinduzi rasmi usiwepo.
2. Mwonekano wa jezi, kiukweli mwaka jana jezi hazikuwa na hadhi inayo endana na timu yetu, watani walituchapa kwa upande huo.
Mwaka huu tena tumeanza kuona jezi inayo sadikiwa kuwa ni ya Simba kwa msimu huu, kwa maoni yangu nadhani tumshukuru bwana Freddy na tutafute mtu mwingine maana hii ya mwaka huu ni kama mapazia ya chumba cha kuhifadhia maiti.
Tatizo liko wapi? Tunazo rangi nzuri sana nyekundu na nyeupe, tunakwama wapi? inamaana tumeshindwa kupata mbunifu ?View attachment 2309013
Tunaoteseka ni sisi mahabiki, wenzetu Azam na Yanga tayari wamezindua, sisi sijui tunakwama wapi? leo Alhamis bado tu na simba day ni jumatatu kwa hiyo zimebaki siku 3 tu maaana kuzindua jezi siku ya simba day naona ni uwhack tuHakuna ubishi kuwa club ya Simba ndiyo club yenye heshima kubwa kimataifa iliyopo hapa nchini.
Kuna jambo halipo sawa katika club yetu, mwaka jana na mwaka huu kuna mambo mawili yametokea ambayo kwa maoni yangu hayakupaswa kutokea.
Ukiyachunguza ni kana kwamba tuna hujumiwa na aliyepewa dhamana.
1. Kuvuja kwa jezi kabla ya siku ya uzinduzi, sote tuliona kilichotokea mwaka jana, jezi zilivuja kabla ya wakati tena zilivuja siku zaidi ya 5 kabla ya siku ya uzinduzi na hili likafanya uzinduzi rasmi usiwepo.
2. Mwonekano wa jezi, kiukweli mwaka jana jezi hazikuwa na hadhi inayo endana na timu yetu, watani walituchapa kwa upande huo.
Mwaka huu tena tumeanza kuona jezi inayo sadikiwa kuwa ni ya Simba kwa msimu huu, kwa maoni yangu nadhani tumshukuru bwana Freddy na tutafute mtu mwingine maana hii ya mwaka huu ni kama mapazia ya chumba cha kuhifadhia maiti.
Tatizo liko wapi? Tunazo rangi nzuri sana nyekundu na nyeupe, tunakwama wapi? inamaana tumeshindwa kupata mbunifu ?View attachment 2309013
Jezi unavaa hadi White HouseHakuna ubishi kuwa club ya Simba ndiyo club yenye heshima kubwa kimataifa iliyopo hapa nchini.