Lakini si powerful kama CDF,pamoja na kuwa yupo chini yake.Hao wanasiasa nguvu yao inategemea na aliyewateuwa,leo ni Waziri wa Ulinzi kesho anaamka ni RAS huko Katavi.Hujui kama Waziri wa Ulinzi ndiye Rais mwingine wa mipaka ya Nchi yako?
I'm flattered.Wont forget you when the rippen time is due...!
Nguvu ni pesa boss.Munamkuza jamaa ananguvu gani yakukaa no 1 kupita viongozi wote hadi Raisi
Rostam Aziz ndo Baba laoHabari,
Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana.
1. H.E Samia Hassan
2. Jakaya Kikwete
3. Abrahaman Kinana
4. Hussein Mwinyi
5. January Makamba
6. Freeman Mbowe
7. Mwigulu Nchemba
8. Ridhwan Kikwete
9. Innocent Bashungwa
10. Nape Nnauye.
Bonus
1. Rostam Aziz
2. Sylivester Koka
3. SS Bakheresa
.....
Extra..
1. Yuda Thadei Ruwaichi
2.George Mkuchika
3.George Simbachawene
4.Abubakar Zuber
5.Fedrick Shoo
6.Zitto Kabwe.
Kwa ground hizo ndio machinery zenye nguvu Tanzania kwa kipindi hiki..
This is so just you know, don't mess with any.
Basi list ingekuwa ya ma Billionaire tu ikiongozwa na MONguvu ni pesa boss.
Kamsahsu shilole, baba levo,mwijakuUmemsahau Karim Mandonga.
Au zitto....au ndy nguvu ya kupiga tantalilaaa majukwaniBashungwa ana nguvu gani? Akiondolewa kwenye uwaziri ana kitu gani zaidi ya ubunge wa kawaida? Ungemuweka hata Mo Dewji na GSM
Kuna mmoja tu angalau anaushawishi waliobaki wote wamebakiza nguvu za kusukuma nnya. Hamna ziadaHabari,
Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana.
1. H.E Samia Hassan
2. Jakaya Kikwete
3. Abrahaman Kinana
4. Hussein Mwinyi
5. January Makamba
6. Freeman Mbowe
7. Mwigulu Nchemba
8. Ridhwan Kikwete
9. Innocent Bashungwa
10. Nape Nnauye.
Bonus
1. Rostam Aziz
2. Sylivester Koka
3. SS Bakheresa
.....
Extra..
1. Yuda Thadei Ruwaichi
2.George Mkuchika
3.George Simbachawene
4.Abubakar Zuber
5.Fedrick Shoo
6.Zitto Kabwe.
Kwa ground hizo ndio machinery zenye nguvu Tanzania kwa kipindi hiki..
This is so just you know, don't mess with any.
Huyo jamaa anamiliki mang'ombe na mahekari ya mashamba hii Tanzania hujawahi kuona.Bashungwa ana nguvu gani? Akiondolewa kwenye uwaziri ana kitu gani zaidi ya ubunge wa kawaida? Ungemuweka hata Mo Dewji na GSM
Pia habari za masikini.. muulize masikini
Wacha Umasikini pia WAJINGA SANAVijana wa NCHI hii masikini..dah
Hii orodha bila Ngongo ni ubatili mtupu.Habari,