Maoni: Watu Kumi wenye nguvu zaidi Tanzania kwa sasa (Ten most powerfull people)

Joseph Sinde Wariobs, Edward Lowasa are useless as compared to Nnauye and Mwigulu Nchemb
 
List imebadilika
 
Nchi ya Mwigulu. Amefikia hâtua ya Kugawa Uraia kama njugu. Jamaal Kuna jambo zaidi ya Uwaziri Mwigulu anagawa Uraia kama njugu
 
Kama nguvu ni kumiliki mali za wizi wa kodi za wananchi hapo umepatia 100%. Ila kama nguvu ni uwezo wa ku add value kwenye maisha ya watu utakuwa umeboronga kuchanganya sukari na mchanga.
 
Sasa nguvu za hao watu zina faida gani, mbona watu wengi wana njaa, hawana ajira, hawana pesa za matibabu, hawana furaha
 
Mkuchika ana nguvu gani??
Au nguvu za giza
 
Oh,wana ushawishi mkubwa hawa?
Hawa watu wanasema maneno,maneno hayo yanaandikwa kwenye magazeti halafu magazeti yanatumiwa kufungia maandazi.
Huo ndio unaita ushawishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…