Maoni ya Baba wa taifa kuhusu uwekezaji

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Mheshimu sana kiongozi anayeongea bila kusoma mahali...
Baba wa Taifa alikuwa na maono ya Mbali sana.

Nafikiri tutazidi kujifunza kutoka kwake for years. Utafakiri alikuwa analijua hili la DPW Pamoja na kubadili Sheria zetu.
Your browser is not able to display this video.
 
Duuh,mwabukuzi anongea Leo kumbe Nyerere alishaongea. Tunakwama wapi kutumia maliasili asilia kuwaajiri hata hao wanaotaka kutununua. Kwani ile mkataba hawezi ukabadilika wakawa watumwa wetu.
 
Duuh,mwabukuzi anongea Leo kumbe Nyerere alishaongea. Tunakwama wapi kutumia maliasili asilia kuwaajiri hata hao wanaotaka kutununua. Kwani ile mkataba hawezi ukabadilika wakawa watumwa wetu.
Ndiyo Mwalimu aliyaongea hayo.

Hili litukumbushe sisi sote kuwa, tunahitaji kuwa na 'AKILI' na 'ROHO MPYA' ili tuwe na uelewa uliobora na basi utashi bora.

Kiufundi, nasibu ya haya yote si 'mambo ya maoni'--ni mambo ya kiufundi kuhusu 'Matukio-Wakati-Machaguo ya Kitaasisi-Jamii'.

Ukimsikiliza Mwalimu kwenye hiyo video, unaweza 'trizanisha' nasibu ya 'Machaguo ya Kitaasisi' na basi 'unabaki na majibu yako' kuhusu lolote lile linalohusiana na sura na mwenendo wa nchi. Kwa mfano 'maneno ufunguo' kwenye hiyo video ni 'Imani' na 'Uwezo'; kisha tafakuri ya masuala ili kukadirisha pembetatu ya 'Uono Mifumo'--mambo ya 'dhamira' na 'vina vya tafsiri' vyenye kuakisikia kwenye 'miongozo/sera ama sheria...

Ukiwa na uono na ufikirifu mifumo ilivyo ni Elimu 2.0, mambo ya sura na mienendo ya jamii si 'Sayansi ya Roketi'...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…