Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kabisa kabisa mkuu. Mimi Ngosha simfagilii kivile. Ila kwenye hili namuunga 100%. Mimi nina aunt yangu mnyarwanda analalamika mbaya mno. Ila kama ujuavyo nchi ile ya kijasusi kila kona bwana yule hana simile. Haangalii cha mtusi wala mhutu..ukiwa mpingaji unapotea.Kama nchi tajiri wanashindwa sisi bongo tutaweza wapi?