Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kabisa kabisa mkuu. Mimi Ngosha simfagilii kivile. Ila kwenye hili namuunga 100%. Mimi nina aunt yangu mnyarwanda analalamika mbaya mno. Ila kama ujuavyo nchi ile ya kijasusi kila kona bwana yule hana simile. Haangalii cha mtusi wala mhutu..ukiwa mpingaji unapotea.Kama nchi tajiri wanashindwa sisi bongo tutaweza wapi?
Rwanda wana total lockdown na serikali inatoa chakula. Uganda na Kenya wana partial ila Uganda serikali imetoa chakula kwa baadhi ya watu. Lockdown ni mbaya ila kumbuka walioamua kufanya si kwamba wamependa.Kenya watu waliuawa na polisi wanazidi waliouawa na corona (source ni aljazeera).
Hata hivyo kenya lockdown iko usiku tu.. mchana ni free kutembea..
Hata uganda hawajafanya total lockdown watu bado wanatembea mchana tu ndio maana hakuna aliyekufa njaa..
Rwanda sina data.
Kubali kataa kwa nchi zetu total lockdown HAIWEZEKANI!!
Ndio maana mna ambiwa mchukuwe tahadhari. Tanzania bila COVID-19 inawezekana. Vaa barakoa, osha mikono, punguza safari zisizo na lazima, chunga afya yako msivute sigara nk..Sema nini hapo haujagusia ukweli kwamba sasa kitu inatembea local host to another local host.