Maoni ya Fundi Samico kuhusu ukamataji wa makahaba kiufundi; Tujifunze pamoja

Kwa maadili ya jamii
Hatupaswi kutoa uhuru kwa upumbavu wa ukahaba na ushoga
Apambane hadi kwa atomic bomb
 
Hapana chifu

Umezunguruka sana na post yako

Para moja tu ilitosha
Sawa uwezo wa kuelewa unatofautiana kuna wrngine wanaelewa kwa kusoma kichwa cha habari tu kingetosha, sasa kwako para moja, kuna wengine walihitaji maelezo yote!
Makahabda ni binadam kama sisi tushughulike nao kibinadam kama wanadam
 
Kwanini mtu akomae na makahaba wakati shule haina madarasa kilimanjaro huko...
Shule za kata madogo wanavuta bangi tu, hawajui kuandika kimalkia lakn mtu bado anachagua makahaba.
Nauli zinapanda, umeme mgao, matibabu bei juu...makahaba wa nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa maadili ya jamii
Hatupaswi kutoa uhuru kwa upumbavu wa ukahaba na ushoga
Apambane hadi kwa atomic bomb
Hapo kwa Ushoga asigusee kabisaa, amuulize Makonda atampa majibu murua kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hizi unanunua badoo,exotic,tinder,tele ,watsapp n.k...unapatana na unamkuta tayari ana chumba chake lodge..ishu za kwenda kuopoa kwenye ma-bar zimepitwa na wakati. Nowadays wana Hiv rapid tests na rapid test nyingine za kupima STIs/STDs kama syphilis, vipimo vikija nega unatafuna kavukavu....ila asubuhi AZUMA ni muhimu
 
Acha bhasi ndugu
 
Kwanini mtu akomae na makahaba wakati shule haina madarasa kilimanjaro huko...
Shule za kata madogo wanavuta bangi tu, hawajui kuandika kimalkia lakn mtu bado anachagua makahaba.
Nauli zinapanda, umeme mgao, matibabu bei juu...makahaba wa nn?
Mambo ya ajabu sana
 
Umeandika point sana fundi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…