Maoni ya Hassan Bumbuli kuhusu Kocha Juma Mgunda

Coast wamesema hawana mkataba na Mgunda kwahyo kwenda simba ni matakwa yake binafsi
Kocha lazima awe na mkataba na mikataba lazima iwasilishwe Tff kinachofanyika ni mambo ya kihuni katika mpira. Yaani timu Moja ya ligi kuu ime mkodisha kocha wa timu nyingine ya ligi kuu imekua kama masufuria ya kukodisha ukimaliza shughuli Yako unalirudisha.
Ndipo soka letu lilipo fikia Kwa Sasa.
 
Unataka kusema nyie mlivyobamizwa 6-0,5-0,4-1 mliuza mechi kwa vile tu mlipata vichapo vikali kutoka kwa mnyama simba?
Hoja yako inamashiko sana kama kocha wa hiyo timu iliyobamizwa hizo goli alikuwa mshabiki wa na baadae akaazimwa na hiyo timu mbamizaji.
Kama sivyo basi kwa hakika Field Marshal ISMAIL ADEN RAGE hakuongopa.
 
Kwamba ni mambumbumbu..!?
 
Yeye bado hajafikia level ya Gurdiola mnene🤣🤣. Kocha wa timu si sawa na msemaji au muhamasishaji wa timu. Mpuuzi tu.
 
Mikia Fc ndio maana mnaitwa animal🤸🤸🤸
 
Kwahiyo hoja yake nini? Sijaelewa au bado wenge la kutumuliwa bado linamuandama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…