Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha lazima awe na mkataba na mikataba lazima iwasilishwe Tff kinachofanyika ni mambo ya kihuni katika mpira. Yaani timu Moja ya ligi kuu ime mkodisha kocha wa timu nyingine ya ligi kuu imekua kama masufuria ya kukodisha ukimaliza shughuli Yako unalirudisha.Coast wamesema hawana mkataba na Mgunda kwahyo kwenda simba ni matakwa yake binafsi
Hoja yako inamashiko sana kama kocha wa hiyo timu iliyobamizwa hizo goli alikuwa mshabiki wa na baadae akaazimwa na hiyo timu mbamizaji.Unataka kusema nyie mlivyobamizwa 6-0,5-0,4-1 mliuza mechi kwa vile tu mlipata vichapo vikali kutoka kwa mnyama simba?
Huyo Bumbuli naye ukubwa wa bichwa na pua tu lakini akili kisoda ndiyo maana kanyang'anywa kibarua chake na Kimwaga uduguKupitia ukurasa wake wa twitter ameweka maoni yake kama ifuatavyo;View attachment 2350067
Sasa kwani Yanga imeazima kocha huko?Mbona singida kumejaa viongozi wote wa yanga singida hoyeee
Kwamba ni mambumbumbu..!?Hoja yako inamashiko sana kama kocha wa hiyo timu iliyobamizwa hizo goli alikuwa mshabiki wa na baadae akaazimwa na hiyo timu mbamizaji.
Kama sivyo basi kwa hakika Field Marshal ISMAIL ADEN RAGE hakuongopa.
Mikia Fc ndio maana mnaitwa animal🤸🤸🤸Kwaiyo Bumbuli kwa maneno mengine anasemaaaa....! Kosto akikutana Na Simba huyu Mgunda atawaelekeza Kosto Wafungishe
10 - 0 Maana Nane Na halafu Saba washafungwa.
Yaani Kule Utopolo Kweli wote Kichwani ni Maboga isipokuwa JK Na Mzee Manara.. Huyu Alikuwa Kiongozi Sasa fikiria shabiki Wa Kawaida anawaza nini?