Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani watu hawaitaki katiba mpya. Swala la Muungano kufa HALIPO. Kadri yanapotokea makundi yanayochochea mijadala ya kuvunja muungano ndivyo jinsi mchakato mzima wa katiba unavyozidi kuchelewa.
Kama kuna mtu anadhani atavunja muungano, basi ajue anapoteza muda wake...
Wewe mburula unaishi dunia gani? Hauelewi hata yale yanayosemwa na hao wafadhili wako wanaokupa hizo buku 7!! Mwenyekiti wenu amewaasa kuwa amjiandae kisaikolojia ili wananchi tutakapoamua kuwa na serikali 3 muwe tayari kupokea uamuzi huo ama sivyo mtaathirika sana. Sasa wewe punguani unadhani huyo kiongozi wako alikuwa na maana gani? Serikali tatu haziepukiki, na wacha utumwa urudi zenj kwani huo ndio utashi wa wazenj!!