Maoni ya Kamati ya Maridhiano ya Zanzibar katika Katiba

..kwa mapendekezo yao, Raisi wa muungano kazi yake itakuwa ni kusubiri kutangaza hali ya hatari.

..kamati ya maridhiano wanaona aibu gani kutamka kwamba muungano uvunjwe na tushirikiane kupitia EAC?
 
Kama mbwai mbwai tu,Muungano usio wa haki na usawa uvunjike tu maana na sisi Watanganyika umeshatuchosha tunataka mamlaka ya Tanganyika
 
Si halali kuwalazimisha wazanzibar kuendelea kuwa katika ndoa waliyoichoka. Wapeni uhuru waamue wenyewe hatma yao.
 
Nadhani watu hawaitaki katiba mpya. Swala la Muungano kufa HALIPO. Kadri yanapotokea makundi yanayochochea mijadala ya kuvunja muungano ndivyo jinsi mchakato mzima wa katiba unavyozidi kuchelewa.

Kama kuna mtu anadhani atavunja muungano, basi ajue anapoteza muda wake...
 
Wewe mburula unaishi dunia gani? Hauelewi hata yale yanayosemwa na hao wafadhili wako wanaokupa hizo buku 7!! Mwenyekiti wenu amewaasa kuwa amjiandae kisaikolojia ili wananchi tutakapoamua kuwa na serikali 3 muwe tayari kupokea uamuzi huo ama sivyo mtaathirika sana. Sasa wewe punguani unadhani huyo kiongozi wako alikuwa na maana gani? Serikali tatu haziepukiki, na wacha utumwa urudi zenj kwani huo ndio utashi wa wazenj!!
 
Hasira za mkisi,...
 
Tanzania chini ya uongozi wa CCM hamna Maendeleo!
Labda, mi nahisi CCM wakiondoka madarani ndio huenda kikaeleweka! Coz hawa ndio wanafanya mchakato wa mabadiliko kuwa Mgumuuu!!
 
Back
Top Bottom