Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kama mwanamke ni mbinafsi usiingie kwenye ndoa
Kama mwanamke ni kiburi usiingie kwenye ndoa
Kama mwanamke huridhiki na mwanaume mmoja usiingie kwenye ndoa
ok.🐒View attachment 3687798
Kama mwanamke ni mbinafsi usiingie kwenye ndoa
Kama mwanamke ni kiburi usiingie kwenye ndoa
Kama mwanamke huridhiki na mwanaume mmoja usiingie kwenye ndoa
Wa kwangu ni mbinafsi dah laiti ningejua mapema nisingemuoaView attachment 3687798
Kama mwanamke ni mbinafsi usiingie kwenye ndoa
Kama mwanamke ni kiburi usiingie kwenye ndoa
Kama mwanamke huridhiki na mwanaume mmoja usiingie kwenye ndoa
Hiki kitu kinakera sana, halafu bado jitu linakisumbua na kukunyima utulivuWanaume tunatumika kama madaraja ya kuwavusha wanawake
Utatulia kaburini......Hiki kitu kinakera sana, halafu bado jitu linakisumbua na kukunyima utulivu
Nikifa ndo nshairudishia Dunia vilivyo vyake, kwahiyo huo udongo tena haunihusu ... HANGAIKENI NAO NYIE MLIOBAKI MPAKA MTAKAPOCHOKA MJALI YENU! 🤣Utatulia kaburini......
Baada ya muda serikali inataka kufanya project na huko kaburini unatolewa tena unahamishwa.
Kwakifupi haujaja kutulia hapa duniani 😂😂😂
Tutaoa ila hatuwaonyeshi tunapotunza bastola.Ndoa zifutwe