magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
SWALI1 : Kwanini mnakataa jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi? Hamjui Sanda ni jina lake?
# JIBU: Hatukatai jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi. Tunajua majina yake kamili ni Sanda Omary Yenga lakini jina lake la biashara (brand name) ni Sandaland. Tunachoshauri jezi iwe na jina lake la biashara ambalo ni Sandaland na sio hayo majina mengine.
# SWALI2 : Kwani kuna shida gani akiamuakutumia Sanda badala ya Sandaland?
# JIBU: Kuna kitu kinaitwa Corporate IDskwenye Marketing. Yani vitu vinavyotambulishabiashara yako kama vile jina, logo, rangi etc.Hivi havibadilishwi hovyohovyo. Vinahitajiconsistency, yani uwezo wa kukaa kwa mudamrefu. Ndio maana Fredy Ngajiro alipopewazabuni ya jezi alimaintain "brand name" yakeya Vunjabei. Hakuwahi kuandika "Ngajiro"kwenye jezi halafu akajitetea hili ni jina langu.Ungekua uzwazwa.
Kwahiyo Mzabuni wa sasa kuitwa Sanda sio kigezo cha kuandika jina lake kwenye jezi wakati anayo "brandname" yake Sandland. Let him maintain Consistency. Tukiruhusu atumie majina yake mwakani anaweza kuandika "Kishohia" na akajitetea ni jina lake la ukoo. Simba wote tukaonekana vishohia. Ndio maana tunashauri atumie "Sandaland" ambayo ni brandname yake ya biashara. Hayo majina mengine ataitwa na wajomba zake au wazee wa ukoo.
# SWALI3 : Neno "Sanda" lina tatizo gani? Mbona kule Jacksonville Beach, Florida (Marekani) kuna mgahawa mkubwa na maarufu unaitwa "Mavi" na watu wanaenda kula kwa wingi bila kujali jina?
# JIBU: Neno "Mavi" kwa Marekani halina tatizo, lakini kibongo lina maana mbaya. Ukibisha fungua mgahawa Sinza Mori au Tabata Bima uuite "Mavi" uone kama utapata wateja. Wewe mwenyewe unaweza kuogopa kula chakula chako.
Ni muhimu kuangalia muktadha (context) kulingana na mahali husika. Hizi jezi za "Sanda" zingevaliwa na Liverpool au Chelsea isingekua tatizo. Lakini kwa Waswahili ni tatizo. Na ukitaka kujua ni tatizo subiri siku "Utopolo" wabahatishe kutufunga hata goli moja, tusipoambiwa tulijichuria wenyewe kabla ligi kuanza.
Kwakifupi kwenye kabati langu nina jezi nyingi za misimu iliyopita. Nitatinga hizo na uwanjani nitaenda kama kawa, kusupport chama langu, lakini "Sanda" sivai.
Ubaya Ubwela.!