Maoni ya Malisa GJ kuhusu sakata la jezi mpya za Simba

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
SWALI1 : Kwanini mnakataa jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi? Hamjui Sanda ni jina lake?

# JIBU: Hatukatai jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi. Tunajua majina yake kamili ni Sanda Omary Yenga lakini jina lake la biashara (brand name) ni Sandaland. Tunachoshauri jezi iwe na jina lake la biashara ambalo ni Sandaland na sio hayo majina mengine.

# SWALI2 : Kwani kuna shida gani akiamuakutumia Sanda badala ya Sandaland?

# JIBU: Kuna kitu kinaitwa Corporate IDskwenye Marketing. Yani vitu vinavyotambulishabiashara yako kama vile jina, logo, rangi etc.Hivi havibadilishwi hovyohovyo. Vinahitajiconsistency, yani uwezo wa kukaa kwa mudamrefu. Ndio maana Fredy Ngajiro alipopewazabuni ya jezi alimaintain "brand name" yakeya Vunjabei. Hakuwahi kuandika "Ngajiro"kwenye jezi halafu akajitetea hili ni jina langu.Ungekua uzwazwa.

Kwahiyo Mzabuni wa sasa kuitwa Sanda sio kigezo cha kuandika jina lake kwenye jezi wakati anayo "brandname" yake Sandland. Let him maintain Consistency. Tukiruhusu atumie majina yake mwakani anaweza kuandika "Kishohia" na akajitetea ni jina lake la ukoo. Simba wote tukaonekana vishohia. Ndio maana tunashauri atumie "Sandaland" ambayo ni brandname yake ya biashara. Hayo majina mengine ataitwa na wajomba zake au wazee wa ukoo.

# SWALI3 : Neno "Sanda" lina tatizo gani? Mbona kule Jacksonville Beach, Florida (Marekani) kuna mgahawa mkubwa na maarufu unaitwa "Mavi" na watu wanaenda kula kwa wingi bila kujali jina?

# JIBU: Neno "Mavi" kwa Marekani halina tatizo, lakini kibongo lina maana mbaya. Ukibisha fungua mgahawa Sinza Mori au Tabata Bima uuite "Mavi" uone kama utapata wateja. Wewe mwenyewe unaweza kuogopa kula chakula chako.

Ni muhimu kuangalia muktadha (context) kulingana na mahali husika. Hizi jezi za "Sanda" zingevaliwa na Liverpool au Chelsea isingekua tatizo. Lakini kwa Waswahili ni tatizo. Na ukitaka kujua ni tatizo subiri siku "Utopolo" wabahatishe kutufunga hata goli moja, tusipoambiwa tulijichuria wenyewe kabla ligi kuanza.

Kwakifupi kwenye kabati langu nina jezi nyingi za misimu iliyopita. Nitatinga hizo na uwanjani nitaenda kama kawa, kusupport chama langu, lakini "Sanda" sivai.

Ubaya Ubwela.!
 
Atakuwa tayari kala hasara kubwa, maana ameshatengeneza mzigo. Kama atakuwa na phase nyingine afanyie kazi maoni ya watu asikaze fuvu
Me naomba niwaulize, ina maana simba pale hamna due diligence kwenye usimamizi wa products zinazobeba brand ya Simba Sc..??
Jersey zinapewaje ruhusa ya kuwa released kabla ya kujadiliwa na board au watu hata wawili watatu wa Management kuona kama kuna any fault inayopaswa kuwa corrected before being released..? Kina Gb64 wapo sahihi kusema pale simba kila mtu anajiona ana mamlaka, hawasikilizani.
 
SWALI1 : Kwanini mnakataa jina la mzabuni
kuandikwa kwenye jezi? Hamjui Sanda ni jina
lake?

# JIBU: Hatukatai jina la mzabuni kuandikwa
kwenye jezi. Tunajua majina yake kamili ni
Sanda Omary Yenga lakini jina lake la biashara
(brand name) ni Sandaland. Tunachoshauri jezi
iwe na jina lake la biashara ambalo ni
Sandaland na sio hayo majina mengine.

# SWALI2 : Kwani kuna shida gani akiamua
kutumia Sanda badala ya Sandaland?
# JIBU: Kuna kitu kinaitwa Corporate IDs
kwenye Marketing. Yani vitu vinavyotambulisha
biashara yako kama vile jina, logo, rangi etc.
Hivi havibadilishwi hovyohovyo. Vinahitaji
consistency, yani uwezo wa kukaa kwa muda
mrefu. Ndio maana Fredy Ngajiro alipopewa
zabuni ya jezi alimaintain "brand name" yake
ya Vunjabei. Hakuwahi kuandika "Ngajiro"
kwenye jezi halafu akajitetea hili ni jina langu.
Ungekua uzwazwa.
l
Kwahiyo Mzabuni wa sasa kuitwa Sanda sio
kigezo cha kuandika jina lake kwenye jezi
wakati anayo "brandname" yake Sandland. Let
him maintain Consistency. Tukiruhusu atumie
majina yake mwakani anaweza kuandika
"Kishohia" na akajitetea ni jina lake la ukoo.
Simba wote tukaonekana vishohia . Ndio
maana tunashauri atumie "Sandaland" ambayo
ni brandname yake ya biashara. Hayo majina
mengine ataitwa na wajomba zake au wazee wa
ukoo.

# SWALI3 : Neno "Sanda" lina tatizo gani?
Mbona kule Jacksonville Beach, Florida
(Marekani) kuna mgahawa mkubwa na maarufu
unaitwa "Mavi" na watu wanaenda kula kwa
wingi bila kujali jina?

# JIBU: Neno "Mavi" kwa Marekani halina
tatizo, lakini kibongo lina maana mbaya.
Ukibisha fungua mgahawa Sinza Mori au
Tabata Bima uuite "Mavi" uone kama utapata
wateja. Wewe mwenyewe unaweza kuogopa
kula chakula chako.
Ni muhimu kuangalia muktadha (context)
kulingana na mahali husika. Hizi jezi za
"Sanda" zingevaliwa na Liverpool au Chelsea
isingekua tatizo. Lakini kwa Waswahili ni tatizo.
Na ukitaka kujua ni tatizo subiri siku "Utopolo"
wabahatishe kutufunga hata goli moja,
tusipoambiwa tulijichuria wenyewe kabla ligi
kuanza.

Kwakifupi kwenye kabati langu nina jezi nyingi
za misimu iliyopita. Nitatinga hizo na uwanjani
nitaenda kama kawa, kusupport chama langu,
lakini "Sanda" sivai. Ubaya Ubwela.!
SANDA FC....inatisha.
 
Me naomba niwaulize, ina maana simba pale hamna due diligence kwenye usimamizi wa products zinazobeba brand ya Simba Sc..??
Jersey zinapewaje ruhusa ya kuwa released kabla ya kujadiliwa na board au watu hata wawili watatu wa Management kuona kama kuna any fault inayopaswa kuwa corrected before being released..? Kina Gb64 wapo sahihi kusema pale simba kila mtu anajiona ana mamlaka, hawasikilizani.
Mkuu sehemu kubwa ya jamii ya Tz sio watu smart wenye kushughulisha akili. Kwa hiyo wavivu wa kufikiri walio kwenye mataasisi huko ni reflection ya jamii tuliyonayo. Sio rahisi kuwa na jamii isiyojielewa halafu ukawa na watu smart maofisini. Hao watu watakuwa wametokea wapi?
 
SWALI1 : Kwanini mnakataa jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi? Hamjui Sanda ni jina lake?

# JIBU: Hatukatai jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi. Tunajua majina yake kamili ni Sanda Omary Yenga lakini jina lake la biashara (brand name) ni Sandaland. Tunachoshauri jezi iwe na jina lake la biashara ambalo ni Sandaland na sio hayo majina mengine.

# SWALI2 : Kwani kuna shida gani akiamuakutumia Sanda badala ya Sandaland?

# JIBU: Kuna kitu kinaitwa Corporate IDskwenye Marketing. Yani vitu vinavyotambulishabiashara yako kama vile jina, logo, rangi etc.Hivi havibadilishwi hovyohovyo. Vinahitajiconsistency, yani uwezo wa kukaa kwa mudamrefu. Ndio maana Fredy Ngajiro alipopewazabuni ya jezi alimaintain "brand name" yakeya Vunjabei. Hakuwahi kuandika "Ngajiro"kwenye jezi halafu akajitetea hili ni jina langu.Ungekua uzwazwa.

Kwahiyo Mzabuni wa sasa kuitwa Sanda sio kigezo cha kuandika jina lake kwenye jezi wakati anayo "brandname" yake Sandland. Let him maintain Consistency. Tukiruhusu atumie majina yake mwakani anaweza kuandika "Kishohia" na akajitetea ni jina lake la ukoo. Simba wote tukaonekana vishohia. Ndio maana tunashauri atumie "Sandaland" ambayo ni brandname yake ya biashara. Hayo majina mengine ataitwa na wajomba zake au wazee wa ukoo.

# SWALI3 : Neno "Sanda" lina tatizo gani? Mbona kule Jacksonville Beach, Florida (Marekani) kuna mgahawa mkubwa na maarufu unaitwa "Mavi" na watu wanaenda kula kwa wingi bila kujali jina?

# JIBU: Neno "Mavi" kwa Marekani halina tatizo, lakini kibongo lina maana mbaya. Ukibisha fungua mgahawa Sinza Mori au Tabata Bima uuite "Mavi" uone kama utapata wateja. Wewe mwenyewe unaweza kuogopa kula chakula chako.

Ni muhimu kuangalia muktadha (context) kulingana na mahali husika. Hizi jezi za "Sanda" zingevaliwa na Liverpool au Chelsea isingekua tatizo. Lakini kwa Waswahili ni tatizo. Na ukitaka kujua ni tatizo subiri siku "Utopolo" wabahatishe kutufunga hata goli moja, tusipoambiwa tulijichuria wenyewe kabla ligi kuanza.

Kwakifupi kwenye kabati langu nina jezi nyingi za misimu iliyopita. Nitatinga hizo na uwanjani nitaenda kama kawa, kusupport chama langu, lakini "Sanda" sivai.

Ubaya Ubwela.!
Tatizo Sandaland ni jina refu mnooo.
 
Mkuu sehemu kubwa ya jamii ya Tz sio watu smart wenye kushughulisha akili. Kwa hiyo wavivu wa kufikiri walio kwenye mataasisi huko ni reflection ya jamii tuliyonayo. Sio rahisi kuwa na jamii isiyojielewa halafu ukawa na watu smart maofisini. Hao watu watakuwa wametokea wapi?
Ni kweli kabisa Kiongozi.
 
Hio Corporate IDs ipo chini ya sheria ipi kua lazima Brand ikae kwa Mda mrefu?

Tanzania kila kampuni linasajiliwa chini ya Sheria ya Makampuni na Na business Registration Names Act kampuni linaruhusiwa kubadili jina lao sio kwa kuangalia mda ila kwa kufata utaratibu uliowekwa ambao ni lazima kuwe na azimio la kubadili na likibadilishwa lazima katiba za kampuni kisheria huitwa MOA lazima nazo zifanyiwe marekebisho.

Halaf taarfa atapewa msajili wa makampuni.
 
Ila hii timu kila siku kinakuja na vioja. Kwa mazingira yetu ilikuwa haiitaji akili kubwa wala kujuwana hilo neno Sanda italeta utata kulingana na mazingira yetu. Si dhani kama ni swala la BAHATI mbaya.
 
Screenshot_20240726_050019_Chrome.jpg
 
SWALI1 : Kwanini mnakataa jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi? Hamjui Sanda ni jina lake?

# JIBU: Hatukatai jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi. Tunajua majina yake kamili ni Sanda Omary Yenga lakini jina lake la biashara (brand name) ni Sandaland. Tunachoshauri jezi iwe na jina lake la biashara ambalo ni Sandaland na sio hayo majina mengine.

# SWALI2 : Kwani kuna shida gani akiamuakutumia Sanda badala ya Sandaland?

# JIBU: Kuna kitu kinaitwa Corporate IDskwenye Marketing. Yani vitu vinavyotambulishabiashara yako kama vile jina, logo, rangi etc.Hivi havibadilishwi hovyohovyo. Vinahitajiconsistency, yani uwezo wa kukaa kwa mudamrefu. Ndio maana Fredy Ngajiro alipopewazabuni ya jezi alimaintain "brand name" yakeya Vunjabei. Hakuwahi kuandika "Ngajiro"kwenye jezi halafu akajitetea hili ni jina langu.Ungekua uzwazwa.

Kwahiyo Mzabuni wa sasa kuitwa Sanda sio kigezo cha kuandika jina lake kwenye jezi wakati anayo "brandname" yake Sandland. Let him maintain Consistency. Tukiruhusu atumie majina yake mwakani anaweza kuandika "Kishohia" na akajitetea ni jina lake la ukoo. Simba wote tukaonekana vishohia. Ndio maana tunashauri atumie "Sandaland" ambayo ni brandname yake ya biashara. Hayo majina mengine ataitwa na wajomba zake au wazee wa ukoo.

# SWALI3 : Neno "Sanda" lina tatizo gani? Mbona kule Jacksonville Beach, Florida (Marekani) kuna mgahawa mkubwa na maarufu unaitwa "Mavi" na watu wanaenda kula kwa wingi bila kujali jina?

# JIBU: Neno "Mavi" kwa Marekani halina tatizo, lakini kibongo lina maana mbaya. Ukibisha fungua mgahawa Sinza Mori au Tabata Bima uuite "Mavi" uone kama utapata wateja. Wewe mwenyewe unaweza kuogopa kula chakula chako.

Ni muhimu kuangalia muktadha (context) kulingana na mahali husika. Hizi jezi za "Sanda" zingevaliwa na Liverpool au Chelsea isingekua tatizo. Lakini kwa Waswahili ni tatizo. Na ukitaka kujua ni tatizo subiri siku "Utopolo" wabahatishe kutufunga hata goli moja, tusipoambiwa tulijichuria wenyewe kabla ligi kuanza.

Kwakifupi kwenye kabati langu nina jezi nyingi za misimu iliyopita. Nitatinga hizo na uwanjani nitaenda kama kawa, kusupport chama langu, lakini "Sanda" sivai.

Ubaya Ubwela.!
Ila wabongo?!!
 
andiko hili ndio maana halisi ya kwenda shule sasa. good
 
Back
Top Bottom