Maoni ya Mdau: Simba igawanywe mara mbili

Maoni ya Mdau: Simba igawanywe mara mbili

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Hii Simba wangeigawa mara mbili. Simba Mangungu na Simba MO. Kama zamani si kulikuwa na Simba na Small Simba.

Baada ya mgawanyo huo kila mmoja afanye analotaka sasa. Mashabiki wa Simba mtachagua upande mnao taka.Tumechoka na mivutano yao isiyo na tija.
Pesanyingi
1717954468654.jpg
 
Sawa Ila wajue Simba ya Kilomoni ndio inamiliki jengo la msimbazi na uwanja wa Bunju na pia ndio timu iliyoko ligi kuu hiyo Simba ya mo itabidi inunue timu na kucheza ligi kuu.
Lkn ukumbuke kuwa mo ndo mmiliki wa uwanja wa bunju
 
Hii Simba wangeigawa mara mbili. Simba Mangungu na Simba MO. Kama zamani si kulikuwa na Simba na Small Simba.

Baada ya mgawanyo huo kila mmoja afanye analotaka sasa. Mashabiki wa Simba mtachagua upande mnao taka.Tumechoka na mivutano yao isiyo na tija.
Pesanyingi View attachment 3016097

Hahaha, Sasa Chura upo Jangwani unachoka nini? Si uhangaike na mambo yanayokuhusu?
 
Hahaha, Sasa Chura upo Jangwani unachoka nini? Si uhangaike na mambo yanayokuhusu?
Sisi wachambuzi....tumechoka Kila siku kuchambua mambo ya kolo
 
wee nae unatuletea vocomenti vya wenzio waliochoka namaisha tuvisome humu?

unataka igawanywe kwani imekua andazi au?
qu. mmmmaaaaaaaaaaaaak
 
Back
Top Bottom