Jamaa kavuka mipaka " amesha zitunishia sana taasisi za serikali misuli " refer issue yake na shonza ..inatakiwa apigwe ban nyingine tukufu " ili aweze kujifunza zaidi.. Maana naona bitoz nyangema amesha jiona 2pacAsikilizwe Mara ngapi huyo Freemason nakati hata kwenye ule upumbavu wake wa "African Beauty" walimsitiri?
Ngoja liendelee tu kufunzwa hilo punguwani lenu mxiuuuu...!
Ni ruhusa kucheka maana haujui ili iwe legal language inatakiwa iweje, achana na matatizo ya grammar nk,Really??
Bwa ha ha ha.....
....Nashukuru sana Jesse,naona hakuna Chemistry nzuri kati ya Baraza la wasanii na wasanii wenyewe, Waziri anasema wazi wazi tuko kwenye kipindi kigumu kama nchi hio haitoshi Rais anasema tuko kwenye Vita ya kiuchumi, Hapo hapo baraza la wasanii Linataka kupoteza chanzo cha mapato ama kwa kujua au kwa kutokujua, kuna watu wanahujumu juhudi za mwenyekiti wetu wazi wazi,Duh; kwako mwalimu Kashasaha, unalizungumziaje suala hili.
It's. Don't forget the apostrophe.
Hiyo ni cross iliyopigwa perpendiculary na ikarudi kwa kipa kama ricochet kwa kasi iliyomfanya kipa kushindwa kuruka horizontally.....Nashukuru sana Jesse,naona hakuna Chemistry nzuri kati ya Baraza la wasanii na wasanii wenyewe, Waziri anasema wazi wazi tuko kwenye kipindi kigumu kama nchi hio haitoshi Rais anasema tuko kwenye Vita ya kiuchumi, Hapo hapo baraza la wasanii Linataka kupoteza chanzo cha mapato ama kwa kujua au kwa kutokujua, kuna watu wanahujumu juhudi za mwenyekiti wetu wazi wazi,
There is going to be a catastrophic in our Economy!, Kwako Jesse!
No. In this context "the" is correct.Don't forget an apostrophe.
Ni ruhusa kucheka maana haujui ili iwe legal language inatakiwa iweje, achana na matatizo ya grammar nk,
hiyo ni legal language kwa kuwa inasifa zote za kuwa legal language. Ina ule mtiririko na maneno ya kisheria, na namna ambavyo Mwanasheria anapaswa aelezee jambo.
Hayo matatizo ya grammar na mengineyo hayaifanyi kuwa siyo legal language.
No. In this context "the" is correct.
....Ha ha haaaa Definitely mkuu.Hiyo ni cross iliyopigwa perpendiculary na ikarudi kwa kipa kama ricochet kwa kasi iliyomfanya kipa kushindwa kuruka horizontally.
Naona "nadhani" "nadhani" wewe endelea kudhani mwenzio ndo ashatoa maoni yake hivyo.Mkuu pole Sana wakili. Nafikiri hapa umeropoka na umeamua kuonyesha ni kwa jinsi gani umevamia hii taaluma.
Kazi ya wakili ni nyingi na moja wapo ipo katika kesi ya mohamed katindi v Republic inayosema kuwa "an advocate is an officer of the court, his main function is to make a research, analysis, reading journals, books, in order to help the court to reach into the justice"
Sasa niulize kwa Hilo, je wakili msomi, umefanya research na analysis kuhusu ishu nzima ya wimbo wa diamond? Au tu kwa sababu ya media na wewe unafikia maamuzi hayo?
Pia kuna kitu kinaitwa "corrupt of public moral" je ni kweli diamond kafanya hivyo?
Nafikiri kuwa basata wako sahihi na pia wameamua sio kuufungia wimbo Bali waweze kuufanyia editing ili kuondoa maneno ambayo yanaonekan ni matusi na wakiridhika, unaruhusiwa kupigwa kwani maneno yaliyotumika ni matusi.
Je wakili msomi, kutukana kwa njia ya wimbo ni kosa au sio kosa? Sasa kuambiwa watoe maneno ya matusi basata wanawez laumiwa? Au wamshtaki kwa kutoa lugha za matusi kwa njia ya nyimbo unafikir diamond atabaki Bila kufungwa?
Lay man wataelewaje kuhusu ishu kama hizi za kisheria?
Nadhani wakili inaonekana huna experience katika kazi yako hvyo comments zako uwe kidogo unafanya research na si kwa mhemko
Okay, I think I need to resharpen my grammar.
Sijaona ulipokoleza labda ungeainisha tu Mimi natumia app mara nyingi haioneshi ukikoleza jaribu kuyaeleza tu kwa maandishi huku ukionesha ilitakiwa iandikwaje.Nimeshafanya hivyo. Angalia sehemu nilizokoleza kwa wino mwekundu. Makosa ni makosa tu; usianze oh kiongozi wako wa chama sijui nini. Haisaidii kitu.
‘Brush-up’ on your grammar is better.
bora wewe umechanganya kidogoTs unfair kutuandikia kizungu tupu
Kwanini hawakukata rufaa kama alikua na hoja ya kutetea nyimbo yao?Baada ya kukaidi natakiwa kukuita tena na kukusomea kosa lako nasikiliza utetezi wako nakufungia hiyo ndiyo haki ya kusikilizwa.
Duh, kazi juu ya kazi.Sijaona ulipokoleza labda ungeainisha tu Mimi natumia app mara nyingi haioneshi ukikoleza jaribu kuyaeleza tu kwa maandishi huku ukionesha ilitakiwa iandikwaje.