Hahaaaaaa.....PLEASE SIR MAY I GO TOILET
Ukisoma vizuri na kuelewa nilichoandika utagundua kuwa hukuwa na haja ya kuuliza hili swali limeshajibiwa.So in legalese grammatical errors are 100% permissible?
Can’t stop laughing [emoji38]
Hamna lugha ya kizungu, ni lugha ya kingereza...Nakwambia tunaangaika humu acha tu
Mbongo ukitaka kumpunguza umbea lete uzi kwa kizungu tu hahahahah
Akina diamond walifanya makosa lakini kutokuwapa haki ya kusikilizwa kunafanya haki iwe upande wao. Wakienda mahakamani maana yake malalamiko yao watakuwa hatukupewa haki ya kusikilizwa. Hivyo BASATA hawawezi kutumia akina mond kutokata rufaa na kukaidi adhabu kama defense hata kidogo.Kwanini hawakukata rufaa kama alikua na hoja ya kutetea nyimbo yao?
Badala yake yeye akakimbilia kwenye media kubeza kufungiwa kua haimzuii yeye kupata ela, wqlimfungia hapa lkn akienda nje atapafom tu, hii ilikua dharau sana kwa kwa taasisi, haikutosha bado nyimbo akawa anaiimba kwenye matamasha ya wasafi festival,
Mi ni team mond ila kwa hili alionyesha utomvu mkubwa sana wa nidhamu, hata hiyo adhabu naiona ndogo sana.
Ni sawa na sheria ya kufungia magazeti tu...Sheria zao BASATA zipo kama risasi ikitoka kwenye bunduki imetoka na hurusiwi kukata rufaa, sasa sijui hizi ni sheria gani.
Mkuu, umekosea kuniquote.
Kwa Steve nyerereWale wa darasa LA 3B ,tunacomment wapi
Sizani kama maamuzi ya BASATA yanakatiwa rufaa, kama kukata ninamini wangefanya hivyo.Kwanini hawakukata rufaa kama alikua na hoja ya kutetea nyimbo yao?
Badala yake yeye akakimbilia kwenye media kubeza kufungiwa kua haimzuii yeye kupata ela, wqlimfungia hapa lkn akienda nje atapafom tu, hii ilikua dharau sana kwa kwa taasisi, haikutosha bado nyimbo akawa anaiimba kwenye matamasha ya wasafi festival,
Mi ni team mond ila kwa hili alionyesha utomvu mkubwa sana wa nidhamu, hata hiyo adhabu naiona ndogo sana.
Mapato kupitia upumbavu na matusi ambayo hayaleti maana wala maadili yoyote kwa kizazi cha sasa na kijacho?....Nashukuru sana Jesse,naona hakuna Chemistry nzuri kati ya Baraza la wasanii na wasanii wenyewe, Waziri anasema wazi wazi tuko kwenye kipindi kigumu kama nchi hio haitoshi Rais anasema tuko kwenye Vita ya kiuchumi, Hapo hapo baraza la wasanii Linataka kupoteza chanzo cha mapato ama kwa kujua au kwa kutokujua, kuna watu wanahujumu juhudi za mwenyekiti wetu wazi wazi,
There is going to be a catastrophic in our Economy!, Kwako Jesse!
Kwa dharau alizoonyesha kwa taasisi alafu sheria im'bebe ndio pale nnapokua upande wa rais hata akikandamiza sheria maana haina faida yoyote kwa baadhi ya jamii,Akina diamond walifanya makosa lakini kutokuwapa haki ya kusikilizwa kunafanya haki iwe upande wao. Wakienda mahakamani maana yake malalamiko yao watakuwa hatukupewa haki ya kusikilizwa. Hivyo BASATA hawawezi kutumia akina mond kutokata rufaa na kukaidi adhabu kama defense hata kidogo.
Sijui kuhusu hilo, lkn kama ndivyo kwanini hakwenda kuufanyia marekebisho huo wimbo ndio aanze kuuimba?Sizani kama maamuzi ya BASATA yanakatiwa rufaa, kama kukata ninamini wangefanya hivyo.
Mbele ya sheria hata muuaji ana haki ya kusikilizwa na ndio maana Kuna rufaa.Kwa dharau alizoonyesha kwa taasisi alafu sheria im'bebe ndio pale nnapokua upande wa rais hata akikandamiza sheria maana haina faida yoyote kwa baadhi ya jamii,
Sioni tofauti ya mtu kuiba au kuua alafu sheria inam'beba kisa kuna kifungu cha sheria kinakinzana na jambo flani.
Sijajua kwa nini hawajaufanyia marekebisho, hivi nyimbo kama zile za Roma zinahitaji marekebisho? na ndio maana lazima mtuhumiwa apewe nafasi ya kukata rufaa.Sijui kuhusu hilo, lkn kama ndivyo kwanini hakwenda kuufanyia marekebisho huo wimbo ndio aanze kuuimba?
NASIB do you have a song titled Mwanza?Basata should be taught a lesson, they cant just come with their interpretation on the songs and ban them.. They have become so unfair to bongofleva, Dai take them to court.
Marekebisho yapo sana tu,Sijajua kwa nini hawajaufanyia marekebisho, hivi nyimbo kama zile za Roma zinahitaji marekebisho? na ndio maana lazima mtuhumiwa apewe nafasi ya kukata rufaa.
....Sijuwi unafahamu maana ya 'Sarcasm'?Mapato kupitia upumbavu na matusi ambayo hayaleti maana wala maadili yoyote kwa kizazi cha sasa na kijacho?
Ama kweli duniani wajinga tuko wengi sana kuliko wale waliojaliwa hekima na utashi wa utu.
Sasa nyimbo kama za Roma zinahitaji marekebisho gani au ile I am sorry JK ya Nikki Mbishi zinahitaji marekebisho gani , hii sheria sometimes inawabana wasanii kuikosoa serikali kisa watafungiwa.Marekebisho yapo sana tu,
BASATA must Go.Free Diamond!Basata should be taught a lesson, they cant just come with their interpretation on the songs and ban them.. They have become so unfair to bongofleva, Dai take them to court.