Maoni ya Mwanasheria kuhusu kufungiwa kwa Diamond Platnumz na Rayvanny

Acha upotoshaji /alishapewa onyo ameendelea kukaidi,what next? Hiyo ya a right to be heard for what if he was notified before? Hapo alipofikia ni mapato ya kiburi na kujiona yupo juu ya sheria.No one is above of the law my friend. Tukiwa na sheria zenye macho basi we are finished as nation
 
Mzee baba mm pia naona double double tu!

Ova
Huyu ndo yule walisema aliibiwa chain? Je alikabwa au? Mtu ana walinzi halafu anakabwa? Labda wangeongea kizungu tusingejua alikabwa. Huyo lawyer wake mbona hakuenda ku sue wezi wa chain. Nimerudi toka kule chini kulikoungua hotel bado zimewaka kichwani. Tulikuwa na mshana jr. asikudanganye alikuwa kwenye lindo, alitoroka.
 
Ndio maana Jaji Mkuu anasema Kiingereza bado ni janga kwa wanasheria wetu.
Mkuu kumbe uwa wanakosea? Mimi uwa nikisoma nahisi labda huenda kingereza cha sheria ndivyo kilivyo maana sisi tusiokuwa wananchi wasomi hatuwezi kusoa mawakili wasomi
 
Ukisoma vizuri na kuelewa nilichoandika utagundua kuwa hukuwa na haja ya kuuliza hili swali limeshajibiwa.

No sir!

You can’t excuse poor grammar for legalese.

Which law school teaches you that it’s okay to jumble up a bunch of words like that so long as they are often used in legalese?

Most law schools I know teach you how to use proper diction.

Proper diction will avail you the opportunity to effectuate your client’s wishes.

They don’t teach that at the law school of Tanzania [or whatever the hell it’s called]?
 
Kama nchi hii inategemea wanasheria kama wewe basi nchi hii inapitia sehemu nzuri sana.
 
Tusiojua kingerezq tujibu wapi?

The right to be heard...I just catch that one..
 
Thanks I appreciate your opinion but let me share this!!

The mistake in your legal opinion ( academic View) is inserting the name Bashite which in both overt and covert meaning is politically mentioned and it lies on political atmosphere ( ARENA) and this proves you that the analysis is no longer an academic !!!this impacts on biased based analysis and it nullfies your statement that "my legal opinion ( observation) "

So have a common stand whether to comb or shave your hair!!

Because some pple may be political but others May not so doing a such analysis is just boring others and lining ur argument as a political one!!
 
Roho za korosho mko wengi kweli humu, hivi Diamond anachangia kwa kiasi gano mmomonyoko wa maadili kama wanavyosema.
Hata mimi namshauri kama hupewi heshima kwenu ondoka ukaishi kwa jirani.
Kaangalie Singeli mtaani huko kaangalie vigoma vinapigwa hadi madirishani mwetu hatulali huko kwa social media tafrani mtupu maadili anabomoa Diamond
 
Who is Mr.Bashite?

Huyu mwanasheria gani anatumia hilo jina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…