Mahesabu yako ya uongo sijawahi ona duniani.Makadirio ya idadi ya watoto chini ya miaka 18 ambao ni asilimia 31 ya watanzania wote
Idadi ya watoto = idadi ya watanzania X 31%
= 60,000,000 X 31%
Idadi. = 18,600,000
Tutoe watoto wa waajiriwa
Makadilio waajiriwa rasmi sekta binafsi na serikali ni 1,000,000.
Kila muajiriwa maximum watoto 4, so hapo ni sawa na watoto milion 4 wapo kwenye bima za wazazi wao waajiriwa.
Kwaiyo kupata idadi ya watoto wasio na wazazi waajiri ni sawa sawa na
= 18,600,000 - 4,000,000
= 14,600,000
Kwaiyo katika watoto 14,600,000 walikatiwa bima ya TOTO AFYA ni 217,000 tu ambayo ni sawa na asilimia 1.4 ya watoto wasio na wazazi waajiriwa.
Kwaiyo kuamishwa kwa mnufaika ambaye ni mtoto kwenda kwenye vifurushi vingine vya bima,
je itasaidia idadi ya watoto wanufaika kuongezaka?
Au ni mpango wamajaribio, ambao unaonesha dhahiri kwenda kugonga mwamba.
Maoni hayo niya menejimenti ya wizara ya afya wakiongozwa na UmmyKama 50,400 ilikuwa ni bei rahisi basi wangeongeza gharama kuliko kuifuta kabisa.
Serikali imeshindwa kuangalia jambo la msingi na kuhakikisha wananchi Wanapata uhakika wa matibabu.
Afya ndio Kila kitu...
Wabunge wampigie kelele kama alivopigiwa kelele Ndugai akabwaga manyangaUMMY MWALIMU UNAPASWA KUWAJIBIKA KWA HILI, MBONA MAWAZIRI WENZIO WOTE WALIOKUTANGULIA HAWAKUWAHI KUFANYA JAMBO LA AJABU KAMA HILI??
Bora wangeanzisha makampuni ya bima za afya kuliko huu uozo waoHivi hakuna kampuni binafsi zinazotoa bima ya matibabu tukiachana na hawa NHIF? Ni bora nikawanufaishe hao na sio hawa walamba asali
Darasa la 2 D hamuwezi kuelewa.Mahesabu yako ya uongo sijawahi ona duniani.
Awamu hii ni usenge mtupu tatizo letu pia watanzania ni waoga sanaaaa tuamke Sasa hivi hatuna mtetezi siyo chadema siyo CCM act wote ni walewale wanaendelea kumkata viumo huku dj kauzima mziikii nawachukiaaaaaaa!!!!!!Pamoja na tozo zote wanazotoza bado wanashindwa kuweka mfumo rafiki wa bima ya afya kwa watu masikini.
Umeongea kweli mkuu inabidi tuachane na huu uboya tukae road kmmmk mbwai mbwai hawa manyanga'au watatuzoea vibaya yaani wanajifanya kututangazia amani huku wametushikia mapanga daah!!!!Watanzania na kujikusanya mitandaoni kulalamika kila siku sijui itaishia wapi!
Serikali kila siku itaamka na kufanya itakacho kwasababu vitu vidogo mnasahau ya msingi.
Hili ni jambo la ngapi la msingi kulalamikiwa mwaka huu?