Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Posts
4,132
Reaction score
1,577
MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


[Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge Maalum, 2014]




Inaendelea hapa - https://www.jamiiforums.com/katiba-...-mhe-tundu-lissu-post9227773.html#post9227773
 
Inaendelea...

 
Hivi ni kwanini CCM wanaiogopa sanaTanganyika??
 
Hii ni aibu kubwa kwa Serikali kuogopa kusikia ukweli unaosemwa na mwakilishi wa wananchi,
aibu sana, ila ukweli haufichiki milele umefika wakati wa Watanganyika kudai nchi yao.
 
Si wangeiita Ccm Broadcasting Corporation tu? Kuiita Tbc ni kuwanyima haki Watz.
 
Mwakyembe kabla hajawa kiongozi wa ccm alikubaliana na anachounga mkono kukipinga leo, serkali tatu alizopendekeza wakati wa research yake ya udhamili leo hataki.
 
Yatupasa watanzania tuamke,chombo cha uma kutumiwa na kikundi kidogo kwa maslahi yao ni kosa kikatiba,twende mahakamani,
 
Wanajua wazi hati hazipo,wala hazijawahi kuwepo,hata UN hazijawahi kupelekwa,Tanganyika lazima irudi,maCCM yasitufanye majinga.
 
Kwakweli huu ni uhaini kind of.. Wanaweza kujaleta machafuko kwa upuuzi wa namba hii..
 
haya sasa bunge limerudi wameshamaliza tayari.. ama kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…