Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

eti dr kikwete! no wonder alikacha mdahalo wakati wa kampeni za uchaguzi 2010! washabiki wake wote ni wale wababaishaji na wanafiki kama akina samweli sitta, Buchannan, Mwigulu Nchemba, and the like![/

QUOTE]

Tundu Lisu ni noooooooooomaaaaaaaaa ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ana nondo za baraaaaaaaa mavi Tbc yamewatoka hadi wamesitisha matangazo yao Bungeni.Lisu kaivua hadi chupi serikali ya ccm na hitimisho kumbe hakuna hati ya muungano popote pale duniani.Ccm na kikwete aibu ya mwaka hiyo teeeeena.
 
ccm ni kama petrol ambayo haijapata wa kupiga moto ili ilipuke.Shem on You TBC...
 
Kwa TBCCM kukata matangazo ni kuyafanya magazeti ya kesho yafanye buashara kwani waandishi wa Habari makini Hotuba hii ya Lissu ndo habari muhimu kuwepo katika magazeti yao ingawa CCM kwa hila zao wanaweza kutaka kuyanunua yote lakini hawataweza. Tanzania Daima nafikiri hamtatuangusha.
 
Ndugai alitaka matangazo ya bunge yasirushwe na chombo chochote,eti bunge liwe na MEDIA zake

Kwa sasa ambapo halina media yake (kitu ambacho ni mpango tu wa kufisadi hela za umma) kwa nini iwe tu TBC ndio wenye haki ya kuchukua matangazo ya bunge?
 
eti dr kikwete! no wonder alikacha mdahalo wakati wa kampeni za uchaguzi 2010! washabiki wake wote ni wale wababaishaji na wanafiki kama akina samweli sitta, Buchannan, Mwigulu Nchemba, and the like![/

QUOTE]

Tundu Lisu ni noooooooooomaaaaaaaaa ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ana nondo za baraaaaaaaa mavi Tbc yamewatoka hadi wamesitisha matangazo yao Bungeni.Lisu kaivua hadi chupi serikali ya ccm na hitimisho kumbe hakuna hati ya muungano popote pale duniani.Ccm na kikwete aibu ya mwaka hiyo teeeeena.

Teh!!!teh!!!so funny kwakweli....wameishiwa sera wana kazi ya kutudanganya kama watoto..watanzania wa sasa siyo sawa na wa zamani
 
Na wahsindwe maana ccm wamekuwa ishara ya laana na maisha duni kwa taifa hili, ccm na vibaraka wao hamfiki kokote.
 
Karne hii ya Teknolojia Tundu Lissu anaweza kabisa akajirekodi kwa marefu na mapana na kutoa maelezo yake yote (hata kwa masaa mawili) na akarusha hizo video youtube au hata hapa watu weweze kuangalia kwa marefu na mapana (na akifanya kwa haraka hata machinga wanaweza kujipatia pesa kidogo kwa kuziuza wakati bado zipo hot)
 
halafu wanalipwa mishahara kwa kodi zetu ili kulinda maslahi ya wachache.what a shame,kiama chao kimefika,ujinga huu hatuwezi kuuvumilia
 
Kwa kweli kitendo cha kukata maelezo ya Lissu ambayo yalikuwa yamejaa ushaidi bc iwe ukweli kwa watanzania kwamba serikali 3 hazikwepeki .Walio madarakani wana lao jambo!!!
 
TBC hata ukiangalia wale wanaoitwa katika kipindi cha Jambo-Tanzania wanaita wale wenye uelekeo wa U-CCM wale wenye mawazo mbadala hawaitwi labda nimemuona Kafulila juzi tu akiwa na Anna Kilango. Kitu ambacho CCM wananiboa ni kwamba hawafanyi research ila ku-copy na ku-paste hotuba ya Rais wakati akifungua Bunge la Katiba. Wamelishwa mawazo wanashindwa kuyatetea.
 
Ninyi CDM si mligomea TBC leo imekuwaje mnawasaliti viongozi wenu mnaangalia?

Hoja sio kugomea. Hivi unadhani kila mpenda ukweli ni Chadema pekee?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom