Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 234
Aisee kafanyeje mkuu, dah I wish ningekua karibu na Tv
TBC wamekata kote; matangazo ya tv na radio..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kafanyeje mkuu, dah I wish ningekua karibu na Tv
Mekumis mbayaaa
siamini ndo wewe au akaunt yako imekua hacked hebu sema kitu tujue ni wewe maana ajuza wewe akina lissu na wengne ni kama vile unavyokula kiti moto kinyemela
Kwa kweli ni aibu kubwa kwa TBC. Kuanzia leo nimejua kuwa TBC inafanya kazi kwa matakwa YA CCM. Mnakatisha matangazo ili watanzania tusione mwawasilisho ya kambi ya wachache inayowasilishwa na Nguli Tundu Lissu. SHAME ON YOU.
Inasikitisha sana,Hii ni baada ya lissu kuja na ushahidi wa kutokuwepo hati za muungano.Brilliant LISSU....!!
Mwakyembe kabla hajawa kiongozi wa ccm alikubaliana na anachounga mkono kukipinga leo, serkali tatu alizopendekeza wakati wa research yake ya udhamili leo hataki.
Hujui hata kuandika , utaweza je kuelewawa mambo yaliyokuzidi afya na kimo?Utumbo mtupu, no intelligency
Ninyi CDM si mligomea TBC leo imekuwaje mnawasaliti viongozi wenu mnaangalia?
Mbona tunakufaham kuwa wewe ni mav. tu nani asiyejua hilo?