Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

Hak'ya nani Tundu Lissu ni kiboko, no wonder mkw.ere alisema ni mara mia Slaa awe raisi kuliko Lissu kuwa Mbunge.

eti dr kikwete! no wonder alikacha mdahalo wakati wa kampeni za uchaguzi 2010! washabiki wake wote ni wale wababaishaji na wanafiki kama akina samweli sitta, Buchannan, Mwigulu Nchemba, and the like!
 
Kwa kweli ipo haja wananchi tukemee hii tabia ya tbc kufanya upuzi huu. Masuala mazito kama haya wanathubutu kukatisha matangazo eti kisa wameshikwa pabaya! Any way wandugu mlio na link ya Dodoma tujulilsheni alivyomalizia Lisu Please.

Hii ni aibu kubwa kwa Serikali kuogopa kusikia ukweli unaosemwa na mwakilishi wa wananchi,
aibu sana, ila ukweli haufichiki milele umefika wakati wa Watanganyika kudai nchi yao.
 
Hivi kwanini TBC walipewa exclusive right ya kurusha matangazo ya bunge?
 
Kwa kweli ni aibu kubwa kwa TBC. Kuanzia leo nimejua kuwa TBC inafanya kazi kwa matakwa YA CCM. Mnakatisha matangazo ili watanzania tusione mwawasilisho ya kambi ya wachache inayowasilishwa na Nguli Tundu Lissu. SHAME ON YOU.
 
Mwakyembe kabla hajawa kiongozi wa ccm alikubaliana na anachounga mkono kukipinga leo, serkali tatu alizopendekeza wakati wa research yake ya udhamili leo hataki.
Ukizoea kunyonga.....!
Labda ilikuwa ni dessertation ya kudesa!!
 
Mwakyembe kabla hajawa kiongozi wa ccm alikubaliana na anachounga mkono kukipinga leo, serkali tatu alizopendekeza wakati wa research yake ya udhamili leo hataki.

huwezi kuwa wanaccm kama siyo muongo, mnafiki na mzandiki!
 
Ninyi CDM si mligomea TBC leo imekuwaje mnawasaliti viongozi wenu mnaangalia?
 
Lissuuuuuuuuuu utaua watu kwa pressure! @HKigwangala kajaribu kupuliza perfume lakini kajikuta anajichafua yeye. Haramu haiwezi kuwa halali
 
Ngoja niwasiliane na chuo alichosomea mwakyembe kule ujerumani waje kumnyang'anya udaktari kwani alidanganya katika reseach.
 
eti dr kikwete! no wonder alikacha mdahalo wakati wa kampeni za uchaguzi 2010! washabiki wake wote ni wale wababaishaji na wanafiki kama akina samweli sitta, Buchannan, Mwigulu Nchemba, and the like!

Dr hata kuandika abridgement ya thesis hawezi..mxxxx
 
angekuwapo star tv wangekoma washenzi hawaaaaaaaaa nawachukia sana
 
Mwakyembe kabla hajawa kiongozi wa ccm alikubaliana na anachounga mkono kukipinga leo, serkali tatu alizopendekeza wakati wa research yake ya udhamili leo hataki.
Mwakyembe katoa macho hakujua watu watakuja na nondo zake.!!
 
aliyezoea vya halamu vya harali awezi
aliyezoea kuishi kwa unafiki vya ukweli awezi
huuo ndio ukweli sasa tbc mmeufanya mjadala uzidi kuwa moto zaidi
 
hati ya muungano aipo kabisa yaani aibuuuuu sna... Tbc cccm
 
Nondo zinaendelea j3 sitta kaahirisha bunde j3 lissu ataendelea ili kuondoa ukakasi
Big up 6
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TBC au aliyetoa amri TBC wazime mawasilisho ya Tundu Lissu hakutenda haki hata kidogo, labda iwe ni technical fault, tutapata hansard, walioko huko turushieni mawasilisho ya Lussu, alikuwa anaongea vizuri sana.

Leo mimi nipo na wote wanaomponda Nyerere kwenye huu mchakato, fikra za Nyerere siyo tu zilikuwa mbovu zimetuondolea Utaifa wetu, iweje leo nchi moja iwe na Utaifa na moja nchi nyingine Utaifa wake ufe? kwa kuwa tu Nyerere ndio kataka hivyo?
 
Back
Top Bottom