Ndugu Yangu 'NYANYADO' hongera kwa kufaulu vizuri somo la uraia,lkn kuwa makini unapochangia jambo, ndio maana hata mchungaji msigwa alisema,elewa bible sio mstari,so unachokijua wewe kwenye suala hili ni hili la zanzibar kutoshiriki kama nchi FIFA,basiiiiiiiii,haujui mengine pole sana,na pia inaonekana hata haujaelewa unachobisha ila unaleta ushabiki tu,mbona kina CANNAVARO wa Zanzibar wanacheza mashindano ya FIFA kwa kupitia taifa stars,ambayo ni timu ya jamhuri ya muungano ya Tanzania? inakuwaje FIFA haiitambui Zanzibar kama timu lakini inatambua wachezaji wa Zanzibar kwenye timu ya muungano? si ni kwasababu inautambua muungano! na sio Zanzibar kama nchi.ndio maana nikasema tunafanyaje nao kazi kama hawatutambui kwamba tumeungana?jipange bro kabla ya kutaka sifa,sifa na ushabiki sio vizuri.