sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,213
Duhhhh leo nimefunguka macho!!Zanzibar hawakuridhia kuungana na Tanganyika kupitia baraza lao la Mapinduzi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashauri tbc waanze kulipwa na wana ccm wanaofaidika na chanel hiyo kuliko kulipwa na kodi ya wantanzania ambao hawana faida na tbc,wtz tunaomba star au itv ndo ziwe luninga za taifa .
Mwakyembe katoa macho hakujua watu watakuja na nondo zake.!!
Hakikataifa letu kamwe hatutaendelea kwa kuwa na watu namna hii
Nimesoma kwa makini sijui walifanya hivi kwa nia njema ama ulikua uhuni tu wa watawala. Nitarudi bdae.
Unaju ukisha jiunga na ccm lazima uwe mnafiki, kwa sababu unakuwa kule kwa ajili ya tumbo lako, japo kuwa ukweli unaujua. Hata usomi wako hauna maana tena, sababu unaendeshwa kwa remote na form four wa division four au zero na huwezi kuwapinga. e.g Nape.Mwakyembe kabla hajawa kiongozi wa ccm alikubaliana na anachounga mkono kukipinga leo, serkali tatu alizopendekeza wakati wa research yake ya udhamili leo hataki.