Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

Duhhhh leo nimefunguka macho!!Zanzibar hawakuridhia kuungana na Tanganyika kupitia baraza lao la Mapinduzi??
 
nashauri tbc waanze kulipwa na wana ccm wanaofaidika na chanel hiyo kuliko kulipwa na kodi ya wantanzania ambao hawana faida na tbc,wtz tunaomba star au itv ndo ziwe luninga za taifa .

omusita;

Kama leo ulikuwa unafuatilia kipindi cha Bunge hata hao Star Tv walikatiza matangazo wakati Rev. Msigwa akiwasilisha maoni ya Wachache kwa kisingizio kuwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao wanakatiza matangazo ya Bunge ili kuendelea na vipindi vingine, ndipo na mimi nikabadilisha chaneli kwenda TBC!!!!Kumbe ni yaleyale!

Huu unaonekana ni mkakati maaalumu ulioandaliwa na Serikali ya CCM kuminya mawazo ya walio wachache!!!Nchi hii hakuna uhuru wa habari kabisaaaaaaaaaaa!!!
 
wale wajumbe 261hakuna wanajua kuhusu hii inchi leo wamesikia wenyewe hata dr.mwakyembe ni muumini wa serikali 3 wao wamo tu kama bendela hawana msaada kwa watanganyika wangerudi 2 majumbani kwao
 
Ndugu Yangu 'NYANYADO' hongera kwa kufaulu vizuri somo la uraia,lkn kuwa makini unapochangia jambo, ndio maana hata mchungaji msigwa alisema,elewa bible sio mstari,so unachokijua wewe kwenye suala hili ni hili la zanzibar kutoshiriki kama nchi FIFA,basiiiiiiiii,haujui mengine pole sana,na pia inaonekana hata haujaelewa unachobisha ila unaleta ushabiki tu,mbona kina CANNAVARO wa Zanzibar wanacheza mashindano ya FIFA kwa kupitia taifa stars,ambayo ni timu ya jamhuri ya muungano ya Tanzania? inakuwaje FIFA haiitambui Zanzibar kama timu lakini inatambua wachezaji wa Zanzibar kwenye timu ya muungano? si ni kwasababu inautambua muungano! na sio Zanzibar kama nchi.ndio maana nikasema tunafanyaje nao kazi kama hawatutambui kwamba tumeungana?jipange bro kabla ya kutaka sifa,sifa na ushabiki sio vizuri.
 
Nduka;9228270]Ninyi CDM si mligomea TBC leo imekuwaje mnawasaliti viongozi wenu mnaangalia?

kwa mtz ulie na akili timamu huoni hata wewe TBC leo imekunyima haki yako ya msingi ya kuangalia bunge hadi mwisho kisa lisu anaanika yaliofichwa .
 
Hizi nondo za Dr Lissu unahitaji kuwa kichaa wa kiwango cha juu kuzikataa.
 
Haya ndio mambo tunataka kusikia toka kwa wasomi wa nchi hii, sio unakaa bungeni unaanza kuzungumza kama unamwachia shamba boy wako maagizo ya siku. Nawashukuru wale wote mlio tayari kutumia akili zenu kwa manufaa ya watanzania wenzenu. Ole wao wanaouza maarifa na akili zao kwa manufaa ya matumbo yao na watoto wao
 
Nimekwisha jipatia ukweli fullstop na nina-print na kutengeneza kitabu nina kipa jina la UKWELI WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR. hapa siuuiti muungano kwani hakuna hati ya muungano.Tanganyika kwanza......
 
Nimesoma kwa makini sijui walifanya hivi kwa nia njema ama ulikua uhuni tu wa watawala. Nitarudi bdae.

Baada ya kutafakari hizi nondo za Dr. Tundu Lissu nimepata hisia kwamba Rais Kikwete kwa kufahamu hii kitu atakuwa amewaacha Viongozi wenzake wa CCM wavuliwe nguo kutetea Muungano kanjanja. Wenye akili wamesikia kwa wale vichwa panzi kama Sendeka wataendelea kushabikia kitu wasicho kijua.

Napata hisia kwamba JK baada ya kuona jamaa zake wameshikilia msimamo wao wa Serikali mbili alikuja Bungeni akajidai anawaunga mkono. Kumbe nyuma ya pazia akiunga mkono maoni ya Tume yake!
 
Ili kulinda heshima ya Tanzania .ccm wakubali serikali 3 yaishe.tuanza upya .
 
Tundu Lissu ameongea point tupu sana, amesema ukweli, ni mzalendo. Anataka kuondokana na unafiki.
 
Mwakyembe kabla hajawa kiongozi wa ccm alikubaliana na anachounga mkono kukipinga leo, serkali tatu alizopendekeza wakati wa research yake ya udhamili leo hataki.
Unaju ukisha jiunga na ccm lazima uwe mnafiki, kwa sababu unakuwa kule kwa ajili ya tumbo lako, japo kuwa ukweli unaujua. Hata usomi wako hauna maana tena, sababu unaendeshwa kwa remote na form four wa division four au zero na huwezi kuwapinga. e.g Nape.
 
Hivi hawa tbc wanatumia kodi za watanzania wote au michango ya wanaccm tu?
 
Back
Top Bottom