ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
Nitaweka presentation ya Lissu JUKWAANI .
Utakua umetusaidia sana mkuu!! Ukiweka naomba uni "mention" niipate...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaweka presentation ya Lissu JUKWAANI .
Nitaweka presentation ya Lissu JUKWAANI .
tbc wamenikera sana
Hivi TBC umehasi sikia mtu mtu mwenye maana..wote huwa mimacho inawatoka..wanabrush tuu program zao..ktk interview wao ndio wanaulizwa maswali si wao wanauliza,ila wao ndio wanaulizwa..yaani hao jamaa ni vihiyo ..wasioona mipaka ya ya TBC na ccm.Wote wanasubiri kupata ubunge..na ukuu wa wilaya.Wakuu hii ni aibu hasa ukitilia maani TBC1 ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zetu.
Sura nzito mboma boy a tu?kweli wajinga ndio waliwao. Da ata MTU asiye na mvuto wa siasa naye anapendwa kisiasa. Chadema bila Zitto hakuna kituwamezoe vya kunyongwa vya kuchinjwa hawawezi
Inasikitisha sana,Hii ni baada ya lissu kuja na ushahidi wa kutokuwepo hati za muungano.Brilliant LISSU....!!
Leo nampongeza mwenyekiti wa bunge maalum la katiba Samwel Sitta kwa kusitisha uwasilishaji wa Tundu Lissu na kuahirisha kikao hadi jumatatu kutokana na matangazo ya TBC kukatika. Mwenyekiti alisema makubaliano ya bunge na TBC ni kuwa wananchi wataona moja kwa moja mjadala hivyo ametangaza kuwa ufafanuzi wa Lissu utaendelea saa 3 asubuhi na irushwe TBC. Nampongeza sana Sitta kwa kuelewa umuhimu wa uhuru wa kutoa na kupata habari. Freedom to information is a RIGHT ..
Kumbe wewe furaha yako hapa ni kuona tu Mwal. Nyerere anakandiwa eti eeh, udini mpaka kwenye damu we nguchiro, hopeless kabisa wewe!!
Mkuu, Tundu Lissu haitesi Serikali wala yeyote yule. Tundu anayo kazi moja tu na huwa anaifanya kwa ustadi mkubwa bila ubabaishaji wala makosa ya kiufundi nayo sio nyingine bali KUMGONGA NYOKA KICHWANI. Halafu mbaya zaidi jamaa hana hata chembe ya huruma linapokuja suala la kumuua nyoka. Ha ha ha!
Da hawa tbc ni ccm nini
ni aibu kwa kikwete na serikali yake! naona wameweka cd yake anatoa macho na porojo zake!
Wakarudi wakati mwenyekiti anafunga mbaya zaidi imekata radio na Tv kwa pamojaTBC hawataki maoni ya Ukawa yasikike,wanataka ya Ccm tu.