Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

haya sasa bunge limerudi wameshamaliza tayari.. ama kweli

Huuu ni usenge wa kutupa asubui Dr Francis ksongea saa nzima ilipofika zamu ya msigwa mwakilishi wa walio wachache eti startv wakakata matangazo wakaweka l'île li kipndi la daladala
 
Halafu anatokea mwendawazimu kutoka uvccm, eti ooohoo sisitimu imeona Lisu anapotosha ikaamuru kukata matangazo,


Pumbaaaaaaf
 
Hivi ni kwanini CCM wanaiogopa sanaTanganyika??

wale wanaofahamu hawaogopi Tanganyika, lakini nina hakika ktk CCM wanaofahamu ni wachache sana! Wale wanaofahamu, woga wao ni kupoteza ajira. Ktk nchi hii kuna watu wamesha amua kwamba ajira yao na familia zao ni siasa. hawataki kupoteza umaarufu na hata madaraka.

Nakuhakikishia kwamba wako tayari kuua mtu kuliko kuondolewa ktk siasa. Sasa hii katiba inataka kuwaondolea madaraka kabisa! Subiri utajaona ile ibara inayozungumzia mawaziri kutokuwa wabunge itakavyopingwa kwa nguvu. Sababu wao hubahatisha kila upande. akikosa uwaziri basi abaki na ubunge sasa hii inayowaondolea kubahatisha wanaona kama inawaondoa kazini.
 
Nimesoma kwa makini sijui walifanya hivi kwa nia njema ama ulikua uhuni tu wa watawala. Nitarudi bdae.
 
Alipomsikia Lissu anataja mpaka ukurasa eti naye akawa ana note! ina maana kasahau au?
 
Hivi hakuna namna ambyao tunaweza hack hizo CCTV au tukaweza zetuili tuwe tunapata matangazo jamani, kwasababu huu UPUUZI wa TBC umenichosha sasa
Mbona skype inatosha saidia wajumbe ku strem live kutokea ktk simu
 
Tanzania ya zamani ilikuwa inaheshimu maoni ya wasomi na wanasiasa wengi walikuwa wanasikiliza maoni ya wasomi na wadau wengine wanaoheshimika na kuyafanyia kazi kwa kuwa kulikuwa hakuna ukanjanja lakini katika kipindi cha miaka 20 wasomi walikuwa hawaonekani kama wana lolote la kuchangia katika maendeleo ya nchi mpaka wengine wakaamua kuingia kwenye siasa na kuacha kazi yao ya kutusemea sie tuliomaamuma. Ajabu katika kikao cha bunge la katiba majina ya kina Prof Shivji ndio yamekuwa yanatumika kama reference ku-support kile wanachoamini simply because yupo upande ambao wao wanaamini. Swali la kujiuliza mbona wasomi wetu waliwekwa kando mpaka leo hii ndio wanakumbukwa? Je hata hili la katiba likiisha tutaendelea kuwaamini? au ndio kwa kuwa wengine wapo upande wa wale wanaoamini serikali mbili?
 
Sura nzito mboma boy a tu?kweli wajinga ndio waliwao. Da ata MTU asiye na mvuto wa siasa naye anapendwa kisiasa. Chadema bila Zitto hakuna kitu
Zitto ana sura nyepesi..?Mbona bila yeye hata ACT itakuwa bora.
 
mwenye crip, japo audio atuwekee hapa tusikilize, kuna vionjo tunavikosa
 
ni bora kujua njia ya kwenda binguni na sio ya binguni, TBC wanakichokifanya ssa muda wao uko ukingoni lolote laweza kutokae ktika kudai tanganyika maana mpaka sasa hakuna muungano wa tanganyika na zanzibar
 
dah! kazi kwelikweli,vijana wenzangu tuna Kazi kubwa sana,kwani na sisi pia hatufanyi utafiti wala upekuzi wa kawaida tu,yaan tumeshikiwa akili zetu na wanasiasa,na ndio maana humu tunatukanana bila ya sababu za Msingi,Mimi nimemsikia Tundu Antipas lissu mwanasiasa machachari kabisa,lakini sasa ilikuwa ni jukumu letu vijana kabla ya kulishabikia hili tulichunguze kiundani,na kujiuliza maswali mengi,je kama UN hawatutambui kama jumhuri ya muungano wa tanzania, huwa tunafanya nao Kazi vipi? au nao hawajui wanachokifanya? maana lissu alitaja watu wawili tena kwa majina na si UN kama UN, na pia lissu anasema watu waliozoea uongo vya ukweli hawaviwezi,naye tumuulize alipokuwa kwenye bunge la budget na kusema shirikisho haliwezekani,vipi Leo anapigania shirikisho!
 
Hayo maoni ya wachache ndio yale yaliyosomwa na Kigwangala pamoja na maoni ya wengi. Alichokatizwa Lissu ni ule ufafanuzi wa dakika 30. Hapo imekula kwenu, chama kubwa limeamua.

ili uwe mwanaccm lazima uwe mnafiki, muongo, mzandiki na mpuuzi! katika hayo wewe uko na sifa ipi?
 
TBC wamethibitisha kuwa ni chombo haramu cha CCM! Nilikuwa naangalia runinga wakti Mbunge makini na Mwanasheria mahiri wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu akiwasilisha hoja za wachache. Alipoanza tu kushusha nondo za kuthibitisha kuwa hakuna HATI ZA MUUNGANO UN, TANGANYIKA wala ZANZIBAR wakazima CAMERA! Nimeskitishwa sana na kitendo hiki. Je, hapa tutasema kuna Uhuru wa media kweli??? TBC hakika mnatia aibu, shame on you!

Kuanzia leo nitawaita TBC kama TANZANIA BROACASTING CCM- kwa kifupi TBC!
 
Back
Top Bottom