Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Pamoja na tofauti za kimtazamo juu ya siasa za Tanganyika haina maana ya kwamba unapoona upande pinzani kuna jambo unaweza kushauri .. Tafadhali fanya
Ushauri huwa ushauri si shuruti.. Mshauriwa ana wajibu wa kuuchukua ama kuuacha
This time around nimefurahi kuona ccm wakichukua ushauri wetu juu ya bango lao la awali la tunatiki
Bango hili lilikuwa ni majibu kwa kampeni ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION.. Kwa bahati mbaya waliolitengeneza hawakuwa mahiri na walipungukiwa na maarifa ya kiroho
Tulikosoa na kutoa tafsiri ya kiroho juu ya "sura tupu" tunashukuru hawajafanya kiburi juu ya hilo.
Ni wazi mgombea wa ccm ameshajulikana na kumekuwa na harakati nyingi za kum brand kila kona ya Tanganyika.. Vitu vikubwa kwa vidogo vyenye ubunifu tofauti tofauti vilipambwa kwa picha yake
Sasa iweje kwenye kitu kama hiki badala ya sura yake halisi muweke kinyago kisicho na sura? Kwamba hamna hakika naye?
Mmefanya vizuri kupokea maoni yetu kupitia JF na kuyafanyia kazi haraka japo sisi bado msimamo wetu ni uleule wa NO REFORMS NO ELECTION