The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,450
- 921
I am so eager to see Paul Makonda after 20 years,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akisema daddy is coming too.... ItapendezaKing kiba kasemaje?
9/DecemberDady is coming anajifurahisha tu,hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama...labda sasa na yeye akamset baba yake kule Magogoni ndo kdg panaweza kueleweka....japo nayo ni ngumu.
wewe unazo kamuweke huru kesha njoa miwiliHuna akili
Sema weweeeHivi watu walitakaje aachiwe huru kabisa - kabisa?
Mbona hata hapo ni kama kasamehewa tu jamani, tuache unafiki. Wapo watu wengi sana magerezani wanatumikia vifungo virefu sana kwa kosa hilo hilo la kuuwa bila kukusudia. Au kwa kuwa ni muigizaji?
Hellou hellou!Kingwendu kasemaje?
tatizo ni kwamba kuna vigezo vya kisheria ili huo msamaha uweze kutolewa,yaani rais hakurupuki tu...na pia hiyo list ya hao waombewa msamaha haandai yeye,yeye ni kama ceremonial figure tu ktk kuwatangaza hao wapatiwa masamaha.Sasa akiungana na baba ake itashindikana nn? Au ndo no one above the law