Maoni ya watu maarufu baada ya hukumu ya Lulu

Maoni ya watu maarufu baada ya hukumu ya Lulu

Anaweza pelekwa ugaibuni akatulie mpaka wakati uishe..... Najiwazia tu jamani mi simo
 
Mbona mie nimeweka status yangu haujaipost? Au mie sio super star? Acha ubaguzi
 
Haya wameongea tumewasikia,Mungu huchunguza moyo na kujaribu viuno,yanaukweli ndani yake?
 
243cf89d704991fcc2a2400b0d4c9ba4.jpg
bb76c8775cbdfb4275ce0de0c679e42f.jpg
 
Swari.. Kwann wote wawili marehem Kanumba na Lulu, wakihojiwa na salama jabili ndani ya mikasi TV, walikana kuwa na wapenzi?

Acha wavune walichopanda.....
Tamaa huzaa dhambi, dhambi ikishakukomaa huzaa mauti. Day kwaya ya miaka hiyo bulyankuru....

Pole yake.
 
Hivi watu walitakaje aachiwe huru kabisa - kabisa?

Mbona hata hapo ni kama kasamehewa tu jamani, tuache unafiki. Wapo watu wengi sana magerezani wanatumikia vifungo virefu sana kwa kosa hilo hilo la kuuwa bila kukusudia. Au kwa kuwa ni muigizaji?
Sema weweee
 
Sasa akiungana na baba ake itashindikana nn? Au ndo no one above the law
tatizo ni kwamba kuna vigezo vya kisheria ili huo msamaha uweze kutolewa,yaani rais hakurupuki tu...na pia hiyo list ya hao waombewa msamaha haandai yeye,yeye ni kama ceremonial figure tu ktk kuwatangaza hao wapatiwa masamaha.
 
Hii kesi nina wasiwasi nayo. Unaweza kuwa mpango fulani hivi. Mimi kila nikijiuliza imefufukia wapi sipati picha. Na haya "Madad is coming" ndo yamezidi kunichanganya kabisa. Hata hivyo Pole binti dunia divyo ilivyo, wakati mwingine si ya kwenda nayo kwa pupa.
 
Back
Top Bottom