Maoni ya watu maarufu baada ya hukumu ya Lulu

Maoni ya watu maarufu baada ya hukumu ya Lulu

Mleta mada umeniuzi sana bila kuweka maoni ya Dr Luis Shika
Siku nyingne uwe unamkumbuka billonea Shika sasa unatuletea maoni ya makonda kinyaaaa matapishiii
 
Lulu atatoka i am positive, haya ni maisha huwez judge situation ya mtu wakati hujui amefikaj apo, Stay strong LULU Dad is coming, and you will be free,.. Soon!
 
Sarafina: Freedom...
All: Freedom is coming tomorrow
Sarafina: Dady...
All: Dady is coming tomorrow
 
Comment za watu maarufu nyingine hazielewek et ya diamond pale mwisho "make him proud" anaelewa anachoandka Mwingine Mr Bashite et Dady is coming " haaaa duh aiseee
We ndo unamatatizo yakuelewa, sentensi ya Diamond imemuhusisha Mungu then kwakuamini Mungu anampigania lulu basi lulu asiwe mnyonge, awe strong amfanye Mungu ajivunie kwaye.... Hii hutokea pale unapowaona wenzio ni mabashite kumbe wewe ni bashitest.
 
Mie nimechua andiko moja tu!! 'dady is coming' to rescue you mengine kelele!!!son telling her sister.....
 
hivi hayo maoni atayaona saa ngapi au kuna mtu atakwenda kumsomea.
 
We ndo unamatatizo yakuelewa, sentensi ya Diamond imemuhusisha Mungu then kwakuamini Mungu anampigania lulu basi lulu asiwe mnyonge, awe strong amfanye Mungu ajivunie kwaye.... Mabashite bana!
We fala nn nan bashite toka zako kapumuliwe kisogon huko......chizi weweee badala ya kuelewesha unatukana .....stupid
 
We fala nn nan bashite toka zako kapumuliwe kisogon huko......chizi weweee badala ya kuelewesha unatukana .....stupid
Teh teh! Ueleweshwe wakati ushajifanya mjuaji kwa kudhani wenzio wamekosea! Bashite mkubwa we [emoji23]
 
Hivi watu walitakaje aachiwe huru kabisa - kabisa?

Mbona hata hapo ni kama kasamehewa tu jamani, tuache unafiki. Wapo watu wengi sana magerezani wanatumikia vifungo virefu sana kwa kosa hilo hilo la kuuwa bila kukusudia. Au kwa kuwa ni muigizaji?
Sifa ya utanzania ni pamoja na kuwa mnafki.
 
Watanzania ni viumbe wanaoshikilia nafasi ya kwanza kwa unafiki dunia nzima na kwingine kokote ambamo vinapatikana viumbe..

Kiufupi mtanzania akikupa pole muangalie sana,pengine hata anatamani apate nafasi akutandike msumari utosini!
 
Comment za watu maarufu nyingine hazielewek et ya diamond pale mwisho "make him proud" anaelewa anachoandka Mwingine Mr Bashite et Dady is coming " haaaa duh aiseee
Zinafurahisha sana, unajaribu kupata tafsiri unatoka hola.
 
Swari.. Kwann wote wawili marehem Kanumba na Lulu, wakihojiwa na salama jabili ndani ya mikasi TV, walikana kuwa na wapenzi?

Acha wavune walichopanda.....
Tamaa huzaa dhambi, dhambi ikishakukomaa huzaa mauti. Day kwaya ya miaka hiyo bulyankuru....

Pole yake.
Huyo dogo lulu alikuwa na miaka mingapi wakat huo ?
 
Mange kimambi.akome na tena hiyo miaka ni michache sanailifaa iwe 15....
 
Nichukie. Lakini usiniombee mabaya.
JUMBA BOVU, UMUANGUKIA YEYOTE, SAA YEYOTE, MAHALI POPOTE.
hata Mimi kuna uwezekano mkubwa Leo hii ningekuwa jela. Ni mungu tu aliniepusha.
 
Back
Top Bottom