Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndo unamatatizo yakuelewa, sentensi ya Diamond imemuhusisha Mungu then kwakuamini Mungu anampigania lulu basi lulu asiwe mnyonge, awe strong amfanye Mungu ajivunie kwaye.... Hii hutokea pale unapowaona wenzio ni mabashite kumbe wewe ni bashitest.Comment za watu maarufu nyingine hazielewek et ya diamond pale mwisho "make him proud" anaelewa anachoandka Mwingine Mr Bashite et Dady is coming " haaaa duh aiseee
We fala nn nan bashite toka zako kapumuliwe kisogon huko......chizi weweee badala ya kuelewesha unatukana .....stupidWe ndo unamatatizo yakuelewa, sentensi ya Diamond imemuhusisha Mungu then kwakuamini Mungu anampigania lulu basi lulu asiwe mnyonge, awe strong amfanye Mungu ajivunie kwaye.... Mabashite bana!
Teh teh! Ueleweshwe wakati ushajifanya mjuaji kwa kudhani wenzio wamekosea! Bashite mkubwa we [emoji23]We fala nn nan bashite toka zako kapumuliwe kisogon huko......chizi weweee badala ya kuelewesha unatukana .....stupid
Haya asanteTeh teh! Ueleweshwe wakati ushajifanya mjuaji kwa kudhani wenzio wamekosea! Bashite mkubwa we [emoji23]
Sifa ya utanzania ni pamoja na kuwa mnafki.Hivi watu walitakaje aachiwe huru kabisa - kabisa?
Mbona hata hapo ni kama kasamehewa tu jamani, tuache unafiki. Wapo watu wengi sana magerezani wanatumikia vifungo virefu sana kwa kosa hilo hilo la kuuwa bila kukusudia. Au kwa kuwa ni muigizaji?
Wamevuna walivyopanda. Life goes on!Mchuma janga hula na wa kwao!Mama kanumba ni mzazi mama lulu ni mzazi
Zinafurahisha sana, unajaribu kupata tafsiri unatoka hola.Comment za watu maarufu nyingine hazielewek et ya diamond pale mwisho "make him proud" anaelewa anachoandka Mwingine Mr Bashite et Dady is coming " haaaa duh aiseee
Huyo dogo lulu alikuwa na miaka mingapi wakat huo ?Swari.. Kwann wote wawili marehem Kanumba na Lulu, wakihojiwa na salama jabili ndani ya mikasi TV, walikana kuwa na wapenzi?
Acha wavune walichopanda.....
Tamaa huzaa dhambi, dhambi ikishakukomaa huzaa mauti. Day kwaya ya miaka hiyo bulyankuru....
Pole yake.
Mmmhhh.......kwan utamu halikuwa hapat?Around the corner Jesus is coming. Mungu wa mbinguni nakusihi umtie nguvu huyu mtoto,hakujua atendalo.amina