Maoni yangu: Benedict Wakulyamba amrithi IGP Sirro

Salamu kwenu wadau!!!

Nchi yetu kupitia jeshi la polisi imeingia dosari kubwa baada ya polisi kuhussishwa na mauaji mengi ya RAIA nchini, hii nikutokana na aidha majukumu yao au ni ishara ya kuhitaji uongozi mwingine mpya.
Au bahati mbaya yawezekana.

Rejea maujaji ya Mtwara ya mfanya biashara, mbeya kijana wa airport ya zamani Alifia cello, Mara n.k

Lakini pia wananchi wamepunguza imani na jeshi LA polisi huku kukiwa na wananchi kuchukuwa sheria mkononi kwa kusema akienda polisi anatoka kesho.

Mawazo yangu sasa ni kwamba uongozi wa juu pasi na shaka umechoka nikimaanisha kiongozi mkuu, na hii alipaswa kujiudhuri au Ku step down kwa hali ya mambo yanavyoendelea kwa ustawi wa nchi na jeshi letu LA polisi,

Siro anakribia kustaafu nafikiri ndo maana wanamvumilia lakini kama amebakiza miaka 2 Au 3 anaweza kustaafishwa tu kwa hiari. Kamanda amechoka amefanya kazi kubwa saaana, yatosha.

Napenda kupendekeza KWA MAMLAKA HUSIKA KUWA MBADALA WA IGP SIRRO AWE BENEDICT WAKULYAMBA KWA SASA NI KAMISHINA WA JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU UTAWALA DODOMA huyu Afande anafaa pia hata elimu yake ni ya juu ana masters Uganda, bachelor Udsm,Postgraduate chuo cha UONGOZI Institute ALIWAHI KUWA RPC TANGA

NI MTULIVU NA NI MKWELI ANA HOFU YA MUNGU

Huyu anafaa KUWA kiongozi mkuu WA polisi IGP MPYA

View attachment 2109749

View attachment 2109750
Safari na Zamu yetu Waislamu na Wazenj
 
Tunataka IGP mwanamke! Tena itapendeza aikitoka visiwani na sio bara.

Kuna jambo nimekumbuka, iliwahi kutokea RPC mmoja akauawa ili asiteuliwe kuwa IGP, angalia msije kuuana maana historian hujirudia!
Alyeuawa alikuwa jambazi.
 
Jeshi lifumuliwe hata robo,tatizo kujuana,we unafikiri huyu Wakulyamba na kina Sirro na wahuni wengine kama wewe wenye masharubu hawajuani na kulindana.Kwanza mfupi sana keshafeli vigezo.
Naongeza pazia lake baaayaaa amefeli vibaya mno.
 
Salamu kwenu wadau!!!

Nchi yetu kupitia jeshi la polisi imeingia dosari kubwa baada ya polisi kuhussishwa na mauaji mengi ya RAIA nchini, hii nikutokana na aidha majukumu yao au ni ishara ya kuhitaji uongozi mwingine mpya. Au bahati mbaya yawezekana.

Rejea maujaji ya Mtwara ya mfanyabiashara, Mbeya kijana wa airport ya zamani Alifia cello, Mara n.k

Lakini pia wananchi wamepunguza imani na jeshi la polisi huku kukiwa na wananchi kuchukuwa sheria mkononi kwa kusema akienda polisi anatoka kesho.

Mawazo yangu sasa ni kwamba uongozi wa juu pasi na shaka umechoka nikimaanisha kiongozi mkuu, na hii alipaswa kujiudhuri au Ku step down kwa hali ya mambo yanavyoendelea kwa ustawi wa nchi na jeshi letu LA polisi.

Siro anakribia kustaafu nafikiri ndo maana wanamvumilia lakini kama amebakiza miaka 2 Au 3 anaweza kustaafishwa tu kwa hiari. Kamanda amechoka amefanya kazi kubwa saaana, yatosha.

Napenda kupendekeza KWA MAMLAKA HUSIKA KUWA MBADALA WA IGP SIRRO AWE BENEDICT WAKULYAMBA KWA SASA NI KAMISHINA WA JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU UTAWALA DODOMA huyu Afande anafaa pia hata elimu yake ni ya juu ana masters Uganda, bachelor Udsm,Postgraduate chuo cha UONGOZI Institute ALIWAHI KUWA RPC TANGA

NI MTULIVU NA NI MKWELI ANA HOFU YA MUNGU

Huyu anafaa KUWA kiongozi mkuu WA polisi IGP MPYA

View attachment 2109749

View attachment 2109750
safari hii nasikia Igp anatoka Jw
 
Mleta mada elewa kuwa hata sirro alipoingia hapo alikuwa msafi na mtenda haki sana sana!
Leo hii Sirro anatokaq jeshi la polisi akiwa;
"amejimwagia oil chafu mwili mzima tena sasa imegandana na ngozi yake!
 
Tunataka IGP mwanamke! Tena itapendeza aikitoka visiwani na sio bara.

Kuna jambo nimekumbuka, iliwahi kutokea RPC mmoja akauawa ili asiteuliwe kuwa IGP, angalia msije kuuana maana historian hujirudia!
Daaah, sikuwahi kujua hii kitu ila hizi nyuzi za promo zinaweza kupelekea wauane hawa
 
Tunataka IGP mwanamke! Tena itapendeza aikitoka visiwani na sio bara.

Kuna jambo nimekumbuka, iliwahi kutokea RPC mmoja akauawa ili asiteuliwe kuwa IGP, angalia msije kuuana maana historian hujirudia!
Nakazia
 
Salamu kwenu wadau!!!

Nchi yetu kupitia jeshi la polisi imeingia dosari kubwa baada ya polisi kuhussishwa na mauaji mengi ya RAIA nchini, hii nikutokana na aidha majukumu yao au ni ishara ya kuhitaji uongozi mwingine mpya. Au bahati mbaya yawezekana.

Rejea maujaji ya Mtwara ya mfanyabiashara, Mbeya kijana wa airport ya zamani Alifia cello, Mara n.k

Lakini pia wananchi wamepunguza imani na jeshi la polisi huku kukiwa na wananchi kuchukuwa sheria mkononi kwa kusema akienda polisi anatoka kesho.

Mawazo yangu sasa ni kwamba uongozi wa juu pasi na shaka umechoka nikimaanisha kiongozi mkuu, na hii alipaswa kujiudhuri au Ku step down kwa hali ya mambo yanavyoendelea kwa ustawi wa nchi na jeshi letu LA polisi.

Siro anakribia kustaafu nafikiri ndo maana wanamvumilia lakini kama amebakiza miaka 2 Au 3 anaweza kustaafishwa tu kwa hiari. Kamanda amechoka amefanya kazi kubwa saaana, yatosha.

Napenda kupendekeza KWA MAMLAKA HUSIKA KUWA MBADALA WA IGP SIRRO AWE BENEDICT WAKULYAMBA KWA SASA NI KAMISHINA WA JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU UTAWALA DODOMA huyu Afande anafaa pia hata elimu yake ni ya juu ana masters Uganda, bachelor Udsm,Postgraduate chuo cha UONGOZI Institute ALIWAHI KUWA RPC TANGA

NI MTULIVU NA NI MKWELI ANA HOFU YA MUNGU

Huyu anafaa KUWA kiongozi mkuu WA polisi IGP MPYA

View attachment 2109749

View attachment 2109750
Jina linamuangusha mkuu.
 
Back
Top Bottom